Recent content by Village-in

  1. Village-in

    JamiiForums Tanzania Jimbo Iringa mjini: RC Chalamila, RC Kihongosi, Jesca, Steve Nyerere, Mchungaji Msigwa na Bilionea Vunja Bei

    Thubutu yake. Ccm hawakubali hilo. Hata aipita hapo huku nje wananchi wana hasira nae msariti huyo. Labda wafanye kama walivyozoea kuiba
  2. Village-in

    JamiiForums Tanzania Jimbo Iringa mjini: RC Chalamila, RC Kihongosi, Jesca, Steve Nyerere, Mchungaji Msigwa na Bilionea Vunja Bei

    Ukifuatilia elimu ya wabunge kwa nchi hii utachanganyikiwa. Unaijua elimu ya ponjoro wa kinondoni ? Unaifahamu elimu ya mbunge alietukana ngedere wote?
  3. Village-in

    JamiiForums Tanzania Jimbo Iringa mjini: RC Chalamila, RC Kihongosi, Jesca, Steve Nyerere, Mchungaji Msigwa na Bilionea Vunja Bei

    Tayari tulia kakimbia. Kapambania kugawa Jimbo. Yeye atagombea Jimbo la uyole
  4. Village-in

    JamiiForums Tanzania Jimbo Iringa mjini: RC Chalamila, RC Kihongosi, Jesca, Steve Nyerere, Mchungaji Msigwa na Bilionea Vunja Bei

    Hii nchi kweli watu wanaifanya bora liende. Steve nyerere kweli akawaongoze watu?. Yaani mfano mtu na nyota zake anampigia saruti stiv nyerere kweli?. Daah...! Hizi siasa mtu unaweza kujikataa
  5. Village-in

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua huyu ni mdudu gani maana nilikuwa na jipu ile kutumbua akatoka

    Mbona amesema kwenye kitumbua jamani? Au hamtaki? Rudia kusoma
  6. Village-in

    JamiiForums Tanzania Ukipewa box ambalo lina kila kitu ulichowahi kupoteza kwenye maisha yako! Ni kitu gani cha kwanza utakitafta kwenye hilo box?

    Watakuambia tu pesa. Kwa mimi linakuwa halina maana,bora wabaki nalo. Ksbb nilichokipoteza kikaharibu muendelezo wa mambo mengi sana. Kuna wengi walichokipoteza kikawapelekea mpaka msongo wa mawazo,wengine kichwa kabisa,wengine Hadi kupoteza maisha. Hivyo kama maisha watavirudishaje?. Muda...
  7. Village-in

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Rais wa Zamani wa Zambia, Edgar Lungu kuzikwa Afrika Kusini

    Shida ni nini mpaka aache wosia wa kiduanzi hivyo?.
  8. Village-in

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Rais wa Zamani wa Zambia, Edgar Lungu kuzikwa Afrika Kusini

    HAITAWEZEKANA AZIKWE SOUTH AFRICA. ZAMBIA ITAKOSA KUMBUKUMBU YA MTU MUHIMU ALIEWAHI KUWA KIONGOZI WAO. LAZIMA AZIKWE ZAMBIA
  9. Village-in

    JamiiForums Tanzania OnlyFans Model, Fati Vasquez atishia kuchukua hatua za Kisheria kufuatia "Vitisho na Matusi" yanayohusiana na Lamine Yamal

    Au siooo? Hiyo ya muda mrefu daah...! Natafuta kweli hiyo. Hivi huwezi kunibarikia kweli ndugu yako? Tuone tunafanyeje?.
  10. Village-in

    JamiiForums Tanzania Huenda CCM inamloga ‘Mama wa Watu’, mshindwe na kulegea

    Sasa kwa nini wanamroga kwa rejareja I see?. Hakuna hata wa jumla jumla?
  11. Village-in

    JamiiForums Tanzania OnlyFans Model, Fati Vasquez atishia kuchukua hatua za Kisheria kufuatia "Vitisho na Matusi" yanayohusiana na Lamine Yamal

    Mmh...! Kuna Uzi umesema uko mbali na halafu kumbe mpaka hiyo kufinyia kwa ndani unaijua?. Hapo sasa itabidi tu. Ndioo maana sasa hakuna namna
  12. Village-in

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda hii plate number T 107 TZA

    Hapa ndugu yangu hatujafikis huko. Ngoja tuendelee tu uoga wetu kwanza wasije wakakupoteza. Kuna jamaa humu simuoni au sijui alibadiri I'd?. Lakini hata mwandiko wake tu humu siuoni. Sikumbuki vizuri ubin wake humu
  13. Village-in

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda hii plate number T 107 TZA

    Weka T-NRNE-2025
  14. Village-in

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona wa zamani walikuwa wanalia kwenye tendo? Hawa wa sasa wanachezea simu tu. Nini kimebadilika?

    Nikibahatika kupiga story na vijana hawa wa energy huwa nawaambia sana hivi KAMWE MSIJISUMBUE KUMSUMBUKIA KUMRIDHISHA WASICHANA HAWA WA SIKU HIZI,KWA KUMEZA VIAGRA AU VYOVYOTE. FANYA KWA WASTANI WAKO UNAPOFIKIA. Maana hata ukifanya kwa nguvu au vingi hata kukaribia kuzimia. Pamoja na juhudi...
Back
Top Bottom