Recent content by Vikintu

  1. V

    JamiiForums Tanzania Mainfluensa njaa na uchwara wa Simba SC Wiki nzima walitiuaminisha kuwa Tajiri keshamalizana na Kiungo Conte, mbona sasa keshasinya Yanga SC?

    Mimi naona uchukue mikoba ya usajili wewe. Maana si kwa povu hili . Binafsi sitakusamehe kwa kumfukuzisha kazi CEO wetu mahiri kabisa bidada Barbara. Sasa umeanza project ya kumkimbiza mo wakati huna uwezo wa kununua hata mchezaji mmoja wa ndondo.
  2. V

    JamiiForums Tanzania SGR inahujumiwa kwa maslahi ya nani?

    Arguments zako ni hopeless kabisa.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Issue ya kufeli kwa Aziz Ki ni aibu kwa Soka Letu.! Jadili

    Kwahiyo harudi yanga sio!
  4. V

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Kwanini chadema wanamjadili Zitto zaidi ya wanavyojadili matumizi ya tone tone?!!!!!

    Umetumia algorithms zipi kujua kuwa wanamjadili yeye. Hizo ni fikra zako tu ndugu, kaa nazo mwenyewe.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kufanya usajili halafu unamaliza msimu bila kikombe

    Cha ajabu nini, kama huwezi kuwa shabiki kalime matikiti huko.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Naanzisha Rasmi Kampeni ya kumng'oa Wallace Karia TFF

    Mbona wengine upepo haujawahi kuwaendea vizuri kwa zaidi ya miaka 40 iliyopita? Tumpe tu maua yake hata kama hatumkubali.
  7. V

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri na Kamishna wa Elimu wameshindwa kusimamia mwongozo wa likizo? Wanafunzi walazimishwa kusoma wakati wa likizo

    Umejibu kwa mihemuko. Laiti ungetafakari kwanza, ungejikita katika hoja ya kwanini likizo zimewekwa?
  8. V

    JamiiForums Tanzania Ombi la Simba na TFF ni Yanga asilete timu, ili Simba apewe ubingwa wa mezani

    Acha mbwembwe uchwara. Utawala ya nini?
  9. V

    JamiiForums Tanzania Fadlu badilika ama ubadilishwe

    Wewe si mtu wa mpira kabisa. Unadhani wachezaji ni maroboti? Acheni kukatisha watu tamaa. Tuletee kocha wako atakayefanya uyatakayo.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Simba akichukua kombe, nipigwe ban ya siku tano

    Moderators muwe mnafuta threads za kipumbavu kama hii. Mtu kashiba maharage huko, halafu anakuja kucheua jukwaani.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kwa wana SIMBA TUUUUU..

    Mbona hukumshauri kocha kuhusu kikosi kabla ya mechi? Baada ya matokeo ndio unajifanya mara ooh ingekuwa hivi au vile! Hakuna mjuvi wa mpira wa namna hiyo aisee.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Mohamed Hussein na Abdullazak ni Vimeo simba

    Kacheze wewe. Wewe ndiye uliyeifikisha timu fainali sio? Hopeless argument ever.
Back
Top Bottom