Wapumbavu haoUkifuatilia mashabiki wanataka ushindi pekee; hawataki changamoto. Timu ikifungwa wanatoa lawama bila kubakiza hata 1%.
Vumilia ndg yangu. Makosa yapo, Leo hii Kagoma ni flop kwa Okejepha?? Let us be serious. Fuatilia mpira popote pale, Kuna kuzidiwa kama timu. Ukiangalia mchezaji utagundua kila mchezaji hakupaswa kucheza kama unaangalia makosa namna hiyoOkajepha alifaa kuanza badala ya Kagoma, tofauti yao Kagoma ni kiungo anayependa back pass na mwoga wa kupeleka Mpira mbele, Nouma alitakiwa aanze badala ya shabalala. Chasambi angeaminiwa badala ya Jibu Dennis sababu waarabu Wana Mpira wa Kasi. Hamza ajifunze kucheza mechi kubwa aache uwoga.
Wangeshinda angekuwa amepatia eeh. Wabongo bwana, kila kitu ujuaji. Kufungwa hutokea tu bila kujali kikosi ulichopanga. Acheni ukocha uchwara.Kocha alikosea kupanga Kikosi.
Hakuwaheshimu Berkane, Na.mimi nilishauri hapa mpango kazi hasa kipindi cha kwanza.
Anyway kocha ndio anajua kuliko sisi.
Binafsi ningeingia na Back 3.
Chemalone karabue hamza.
Wingback.
Kapombe na shabalalal
Kiungo Nouma, kagoma Debora,Ngoma
Mbele Ateba.
Baada ya 0-0 pindi cha pili ningeingiza viberenge.
Mpanzu,mtale, kibu, Ahoua.
Mimi najua Mpira kuliko mtu yoyote hapa JFWangeshinda angekuwa amepatia eeh. Wabongo bwana, kila kitu ujuaji. Kufungwa hutokea tu bila kujali kikosi ulichopanga. Acheni ukocha uchwara.
ahoua hana nguvu1. Mpanzu (Kiungo wa Kati – Ana nguvu na kasi)
Faida: Angeleta nguvu mpya kwenye kiungo na kusaidia kushambulia zaidi.
Athari: Ingeongeza kasi ya kushambulia na kusaidia kuokoa presha ya Berkane. Mpanzu alionyesha juhudi nzuri hata alipocheza dakika chache.
---
2. Kibu Dennis (Winga/Mshambuliaji wa pembeni)
Faida: Ana uwezo wa kupenya na kutoa pasi za mwisho (key passes).
Athari: Kama angeingia mapema kipindi cha pili, huenda Simba wangepata nafasi nyingi za kupiga mashuti au hata kupata penalti kupitia kasi yake.
---
3. Ahoua (Mshambuliaji wa kati – Target man)
Faida: Ahoua ana nguvu, anaweza kushika mabeki wawili na kufungua nafasi kwa wenzake.
Athari: Angeweza kuleta taharuki kwenye safu ya ulinzi ya Berkane, hasa kama Simba wangepiga mipira ya juu au crosses
Mbona hukumshauri kocha kuhusu kikosi kabla ya mechi? Baada ya matokeo ndio unajifanya mara ooh ingekuwa hivi au vile! Hakuna mjuvi wa mpira wa namna hiyo aisee.Mimi najua Mpira kuliko mtu yoyote hapa JF
vipi mkuuahoua hana nguvu