Recent content by vikachamo

  1. vikachamo

    JamiiForums Tanzania Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    haaaaaa eti amechukulua Challenges alizopata kama Changamoto.duuuuu Kiswanglish.
  2. vikachamo

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

    Mleta mada pamoja na Diamond wote ni mbumbumbu. Mbunge hajengi barabara ila anaiomba Serikali ijenge, Sekali inaangalia vipaumbele vyake na pesa iliyopo. Kabla ya Mdee Jimbo hilo lilikuwa chini ya CCM kwa miaka 40 mbona hawakuweka lami? Matako yenu.
  3. vikachamo

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wenzangu Tuzikumbuke Shule Zetu za Msingi Tulizosoma

    Nakumbuka Moivaro Shule ya Msingi kule Arusha.
  4. vikachamo

    JamiiForums Tanzania Miguu ya wanawake

    Kuna uhusiano gani kati ya miguu minene na utamu wa K we mbulula?
  5. vikachamo

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi anachukua rushwa waziwazi TAZARA mataa

    Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni wahalifu.
  6. vikachamo

    JamiiForums Tanzania Canal mstaafu Fabiani Massawe

    mleta mada Kakojoe ulale. Acha kujadili watu, nadhani upeo wako hauna tofauti na mtoto wa darasa la 6. Mtafute IGP ili akupe taarifa za huyo uliyesema ni Polisi wa Tabora.
  7. vikachamo

    JamiiForums Tanzania Diamond ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa watanzania

    Sawa mke mdogo wa Diamond, endelea kumsifia mumeo.
  8. vikachamo

    JamiiForums Tanzania John Mnyika na Salim Mwalim kutikisa miji ya Makambako, Njombe

    Sawa Mbowe. Tumekuelewa.
  9. vikachamo

    JamiiForums Tanzania Namchukia mume wangu kwa sababu amenifanya niwe malaya

    Wewe utanusuru nini katika mapenzi ya WAWILI? Ngoja aendelee kukaa hapo mumeo amfaidi.
  10. vikachamo

    JamiiForums Tanzania Namchukia mume wangu kwa sababu amenifanya niwe malaya

    Tunakushukuru kwa hadithi yako. Mwambie nimemmisi sana.
  11. vikachamo

    JamiiForums Tanzania Una uhakika gani kwamba TB Joshua ni nabii fake?

    TB Joshua pamoja na huyi mfuasi wake wa London wote ni Mafirauni wasaka pesa kutoka kwa wenye imani haba. MATAPELI WA DUNIA. wajinga ndio waliwao.
  12. vikachamo

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na ndoa

    Hapana mkuu. Umemfananisha.
  13. vikachamo

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na ndoa

    Mkuu unamfahamu vipi huyo dada? Nipe jina lake na jinsi unavyomfahamu Mkuu.
  14. vikachamo

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na ndoa

    Unamfahamu vipi huyo dada? Labda unipe jina lake na jinsi unavyomfahamu Mkuu.
  15. vikachamo

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na ndoa

    Wenye vitambi watujibu jamani.
Back
Top Bottom