Recent content by Vietnam

  1. V

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

    Ndoto yangu haihusu vyote ulivyotaja, napenda niweze kusafiri, sio ndani ya nchi kokote duniani niweze kufika, bado sijafanikiwa
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mtaala wa Udaktari Udurusiwe

    Kwa hiyo nikigoogle naweza fanya hadi operesheni [emoji120][emoji120]
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM unapata wapi uhalali wa Kukicheka Kiingereza hafifu cha Kocha wa Simba SC wakati Wewe ndiyo hukijui kabisa?

    Hivi lugha kama hatumii mara kwa mara itakuwaje mbobeZi kuongea, unategemea mtanzania aongee kiingereza kama mtu anayeishi pale London, ni ngumu sana, hivyo hivyo mnyaturu alihemia Shinyanga haweza kuongea kisukuma fasaha kama mkazi wa kule, ni kannuni ndogo sana hiyo
  4. V

    JamiiForums Tanzania Washington: Bunge la Congress la Marekani limeidhinisha Msaada wa $ 45B kwa Ukraine

    Kama trillion 103!!!! za Bongo, wenzetu wametuacha Sana, sijui budget ya miaka mingapi kwa Tanzania Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
  5. V

    JamiiForums Tanzania Mi naona wajapani ndio binadamu walikamilika kuanzia maisha yao

    Japan ni taifa ambalo wanaenzi sana tamaduni zao, na wadogo kuheshimu wakubwa hii imepelekea hali ya kiuchumi kubakia ya karibu miaka 30 iliyopita, kule kampuni ni za miaka na miaka, ukisikia Toyota ina miaka zaidi 100 usishangae, hamna kampuni mpya zinazoubuka, vijana hawapewi uhuru kuwa...
  6. V

    JamiiForums Tanzania FAKE: Rwanda yawatimua mabalozi wa USA, Belgian,UK & France

    Warusi wenyewe kwa asilimia kubwa ni wazungu Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
  7. V

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande: Matatizo ya Umeme kumalizika 2025

    Maji ya rufiji yakipungua tunarudi mle mle
  8. V

    JamiiForums Tanzania PUTIN kaichukulia poa UKRAINE

    Nilichojifunza usije ukaona nchi ndogo ukajifanya kwenda kuivamia, 'bouncer usimzarau kimbambau'
  9. V

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Umeme kukatika

    Huko uliko hampati haya matatizo?
  10. V

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Umeme kukatika

    Ni karibu mwezi hali ya upatikanaji umeme imekuwa mbaya sana, binafsi nikipiga simu naambiwa umeme hautoshelezi. Biashara za saluni, uchomeleaji mtaani kwangu zote haziendi vizuri, la kushangaza waziri wa wizara husika yuko zake kimya Aibu gani hii jamani. Tanzania kuna vyanzo lukuki vya...
  11. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanaume mpaka sasa anasimamia kucha saa moja?

    Mwanamke kufika kileleni inatokana na mambo kadhaa si we mwanaume kuweza kukaa masaa tu, unaweza kukaa lisaa na bado asifike, mwingine ndani dakika 5 tayari amefika usikariri endelea kujifunza kwa kila mwanamke,
  12. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nimefanikiwa kuwa Daktari kwa msukumo wa mama ambae ni kichaa, alibakwa akanizaa mimi

    Halafu kutibiwa Uchizi hakuhitaji kwenda India
  13. V

    JamiiForums Tanzania Shaka: Ni marufuku kwa hospitali za Serikali kumtoza Mama mjamzito kiasi chochote cha fedha wakati, kabla na baada ya kujifungua

    Jamani kutoa agiza sio tatizo, je serikali inaweza kupeleka dawa na vifaa tiba vyote kutosheleza? Badala ya kutoa kauli kama hizi kila mwaka na mambo yale yale kujirudia ni heri serikali na wanasiasa kuhamasisha kila mwananchi kuwa na bima za CHF la sivyo watu wataendelea kudanganywa kila mara
  14. V

    JamiiForums Tanzania Airtel wametupeleka kwenye gharama za simu tunazosikia nchi jirani

    Halafu wote wanakuwa na bei ziinazokaribiana, ile dhana ya ushindani iko wapi
Back
Top Bottom