Nauza line ya mpesa ina primary na second iko vizr nimetingwa ninashida na actually meshindwa kuimantain kwa sababu ya hali mbya nauza kwa 140,000#
Mwenye kuihitaji antafte kwa 0753788336 au 0713826525 napatkana katoro geita
M nawashangaaa watu hiv hili tukio ndo la ajab SAN au kwasababu limebahtika kyjulikana yapo matukio ya ajabu wanaotendewa walimu pia wanafunz but mmmh ni hatari
Nahitaji kiwanja maeneo geita mjini au karibu na geita yaan katoro township kwa yyote alie karibu au anaefaham naomba anitafte au afanye reply 0753788336
Tatizo wanaochangia mada wengine hata si walimu taraji tizo ni wivu umewajaa ndo mana wanaongea ujinga tu mbna zikitoka ajira za kada nyingine hamtoi ushauri shda walimu ndo mnaona wanyonge au acheni fikra potovu, mtu hawezi kusoma miaka mutatu degree na asijielewe has lina pokuja suala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.