Recent content by victorsaria2004

  1. V

    Kujadili Muundo wa serikali katika rasimu ya Katiba hayo mengine tunamwachia nani?

    Tokea kuzinduliwa kwa mchakato wa kujadili Rasimu mpya ya Katiba kupitia mabaraza, hoja kubwa inayochukuwa nafasi ni Muundo wa serikali. Hili linatokana na misimamo inayotolewa na vyama viwili hasimu hapa nchi kwa sasa yaani CCM na CHADEMA. Kila chama kinavutia kamba kwake; CCM wanataka mfumo wa...
  2. V

    Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

    bora kapotolo umemwelisha maana kiongozi huwezi kugombea the same position ukiwa madarakani
  3. V

    MALAWIANS SAY: Tanzania hands-off Lake Malawi

    hawa wana funza anawasumbua kwenye ubongo.
  4. V

    Gazeti RAI laishambulia CHADEMA

    ................................loading
  5. V

    Kigwangalla apinga Spika kuleta madaktari wa India Apollo, apingwa na wenzake!

    Matumizi mengine mabaya ya fedha za umma haya. Waafrika tunahitaji Brain washing. Kwani ngozi nyeupe huwa hazichemki?
  6. V

    Mbowe alipua ufisadi mkubwa bungeni

    Ametaja hayo majina ya mafisadi au ni maneno kama wimbo wa Taifa?
  7. V

    CV za CCM zinazowapa ushindi wa Kishindo!!!

    Mbona hayo ni mambo ya kawaida kwa Tz na chama letu?
  8. V

    Joshua Nassari adanganya "live" ITV

    Ubishi wa kijinga usiokuwa na maana, wewe umepata kusoma wapi kuwa mwanadamu anaweza kumuhisia mwenzake kwamba ataishi miaka mingapi hapa duniani. Tubishane kwenye mambo mengine ya msingi haya ya umri wa kuishi tumwachie Muumba peke yake maana ndiye mwenye kujua siku zako za kuishi. Yeye Muumba...
  9. V

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    Mungu okoa sasa, maana Taifa letu linaangamia kwa kukosa maarifa. Kuna haja ya kumtafuta Mungu maana inawezekana tumekwenda kinyume na matakwa yake.
  10. V

    Fukuto la mgomo wa vyombo vya usafiri nchini

    wamechoka kufanya kazi hivyo wanatafuta mapumziko ya pamoja.
  11. V

    Mbunge huyu hatufai

    Wengine wameshazoea kudanganywa ndio maana wakifanyiwa vitu kwa uhalisia wanaona kama hakuna kilichofanyika. wamezoea kupewa kanga, tshirt na kofia kwao ndio kufanya kazi. Angalieni kuna siku hivi vitaondoka then mtabakia kulia milele. Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa...
  12. V

    Mawaziri wanaongoza kwa wizi serikalini - Deo Filikunjombe

    EWE Mungu kila lililo chini jua macho yako yanaona, endelea kuweka mambo hadharani ili kila aliyekuwa akifanya kwa siri yajulikane. ndio wewe usie sinzia wakati wa usiku. Endelea kuwapa ulinzi watu wako ili waseme kweli, kwa kuwa hiyo kweli itatuweka kuwa huru.
  13. V

    Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

    please tell us list of them
  14. V

    Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

    Majina ya hizo Kampuni tafadhali
  15. V

    Wanachama 1,938 wa CCM, Wenyeviti Watano wahamia CHADEMA

    Kwa waombaji ongezeni maombi maana saa ya ukombozi inakaribia
Back
Top Bottom