Recent content by Victoria Dinizulu

  1. V

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Prof Kabudi awa Waziri wa Mambo ya Nje, Mahiga apelekwa Katiba na Sheria

    Hii haihusiani na Lissu, kilichomponza Mahiga ni namna anavyoshughulika na ishu za mabalozi wa hasa EU. Hii ya juzi baada ya kufungia The Citizen na mabalozi wote wa EU kutoa kauli moja nasikia ilimkera bwana mkubwa kwa sababu alitegemea Mahiga ashughulike nayo
  2. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi pombe inavyoathiri chembe chembe za DNA yako na kukupa hamu ya kunywa zaidi

    Utafiti umeonyesha kuwa imani za zamani kwamba glasi moja ya mvinyo wakati wa chakula ni muhimu ni potofu. Unywaji wa pombe kupitia kiasi sio mzuri kwa afya yako kitu kilichothibitishwa kisayansi miaka kadhaa iliopita. Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni , utafiti umeonyesha kuwa imani...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuomba scholarships China

    Yafuatayo ni maelezo ya namna ya kuomba fursa za kimasomo nchini China Maelezo haya yameandaliwa na Watanzania wanaosoma China- kupitia HEOCT (Higher Education Opportunities in China for Tanzania). Mpango huu unahudumia takribani Watanzania 3000 wanaopewa maelekezo ya namna ya kuomba fursa...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa apigwa marufuku kutumia jina la mume wake

    Sio mashindano ya ufipa vs lumumba
  5. V

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa apigwa marufuku kutumia jina la mume wake

    Huyu ni mbunge aliepigiwa kura na wananchi maisha yake yapo kwenye public domain
  6. V

    JamiiForums Tanzania Tupia broken english yako hapa

    Thus why (that’s why)
  7. V

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa kwa ajili ya shared office

    Ofisi ziko kwenye nyumba moja...kila chumba ni Tsh 200,000/- kwa mwezi...Imezungushiwa ukuta, ina ukumbi mdogo wa mikutano wa watu 12 (Conference room), Mapokezi (shared reception), Jiko, Parking (5 Cars), Mapokezi na Jiko ni bure. Ipo Sinza Mori karibu na Mapambano Primary Sch. Mawasiliano...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Newala, Mtwara: Tani 68 za Korosho zarudishwa kwa Wakulima zikidaiwa hazina ubora

    It’s about time waliomzunguka mzee waache tabia ya kusifu na kuabudu kila anachoamua wamueleze ukweli. Hivi wanajua watoto wangapi wameshindwa kwenda shule kwa kukosa ada mikoa ya kusini?
Back
Top Bottom