Victoria Dinizulu
Member
- Feb 18, 2019
- 8
- 15
Ofisi ziko kwenye nyumba moja...kila chumba ni Tsh 200,000/- kwa mwezi...Imezungushiwa ukuta, ina ukumbi mdogo wa mikutano wa watu 12 (Conference room), Mapokezi (shared reception), Jiko, Parking (5 Cars), Mapokezi na Jiko ni bure. Ipo Sinza Mori karibu na Mapambano Primary Sch. Mawasiliano: 0659977752 au 0754 430430