Recent content by victor paul

  1. V

    JamiiForums Tanzania Subaru legacy station wagon

    Thanks
  2. V

    JamiiForums Tanzania Subaru legacy station wagon

    Asante mkuu
  3. V

    JamiiForums Tanzania Subaru legacy station wagon

    Asante mkuu
  4. V

    JamiiForums Tanzania Subaru legacy station wagon

    Wataalam naombeni mnijuze kuhusu hii gari subaru legacy wagon yenye cc1990, ubora wake na changamoto zake
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nini kinaweza kufanyika kuweza kutatua maswala ya Maji kufurika mvua inapo nyesha Dar es salaam

    Mimi ningeshauri kuwa, lile eneo lote la jangwani lichimbwe kuanzia salender bridge kusudi eneo lote la jangwani liungane na bahari na pia boti pamoja na vimeli vidogo vidogo viweze kupita kufika eneo la jangwani na daraja la magari kubwa na refu lipite kwa juu, ujenzi huo utaleta muonekano...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Poa poa
  7. V

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Hizo sasa ndo zilielewi, nazo nazidowload ?
  8. V

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Asante mkuu nimeipata , iko vzuri
  9. V

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Vp kwenye redmi note 8 inaweza kuwekwa? Ina Snapdragon 663 kama sikosei
  10. V

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye ujuzi wa friji

    Msaada friji yangu huwa inaunguruma na kutikisika pale umeme unapokata na kurudi, je hiyo inamadhara yoyote? Maana nikiwepo huwa nachomoa waya kwenye socket baadae ndo naliwasha na linawaka vizur, wasiwasi wangu ni pale ambapo nitakuwa mbali Sent using Jamii Forums mobile app
  11. V

    JamiiForums Tanzania Filamu za uchochezi za kidini ZBC2

    Kama mitaa gani mzee
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya African Life Assurence yabadilisha jina kuwa Sanlam Life Insurence

    Kwan huwa wanatoa sh. Ngapi kwa mfiwa na kwa member aliyefariki?
  13. V

    JamiiForums Tanzania Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

    Nenda arusha ukutane na watoto wa kimbulu na kimeru wazuli balaa
  14. V

    JamiiForums Tanzania Jamani hii imekaaje kwa wameru

    Kule ngarenanyuki utasikia `ale laki' hapo ujue ndo mia au sabini.
  15. V

    JamiiForums Tanzania Jamani hii imekaaje kwa wameru

    Inatolewa mbele ya watu wa rika lake
Back
Top Bottom