mtoa mada umechanganya wachangia mada tangu mwanzo. hukusema idea alio nayo shemej yako inayo mpelekea apate mkopo. ndo mana watu wanahoji maswali. kushek verasity yako na credibility ya shemej yako, mtoa mada hauko smat ktk hili, hvo kuwa mskivu kwa kila swali na ushauri ili ujifunze ki2...
we co m6rabu una2changanyia habari wengne kurasa ya siasa huwa hatuingii kwa kuepuko maumivu ya ujinga wa ccm xa we ujinga huo unauleta huku. hv nikikushtaka kwa kosa la kuinja repitation yangu intentionary ntakua nakukosea? jiangalie wewe.
karibu kwe2 bukoba na kadigree kako kamoojaa, uciogope kupigwa makofi ndo unafundishwa kazi. kama we ni mwl wa kiswahili utapata shavu, lakn english hstory cjui nini yote 2nayajua. maisha ni mepesi senene ndiz magimbi rubis na akina koku wapo karbu xana. . . em 2mia assent ya kihaya kusoma hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.