victor lee
Member
- Jul 14, 2012
- 42
- 1
mtoa mada umechanganya wachangia mada tangu mwanzo. hukusema idea alio nayo shemej yako inayo mpelekea apate mkopo. ndo mana watu wanahoji maswali. kushek verasity yako na credibility ya shemej yako, mtoa mada hauko smat ktk hili, hvo kuwa mskivu kwa kila swali na ushauri ili ujifunze ki2. unaonekana kutaka m2 ashauri sawa na kilicho kwenye akili yako. hii haina mana ya kuomba ushauri. USHAURI. mtoa mada biashara ni nying sana na nzur na mbaya je anataka kufanya ipi? na anataka kuanza na mtaj wa bei gan? na je anataka nani awe mteja wake? mwisho ni mshaur ajenge nyumba za biashara. kama yuko hapa dar. akiwa moro mbeya iringa nk aingze pesa kias kwenye kilimo. anunue ayo magari ayakodishe kwa kampuni kma cocakola azam na kampun nyingne. yangu ni hayo.