ndg zang wana jf, najua humu wataalamu wa maswala ya IT mmo, leo nilikua nafanya updation ya OS ya cm angu aina ya sony xperia j, baada ya kumaliza kufanya updation nkawa na install hyo update ya os, cm ikaji restart then ikaanza kuinstall update ikawa ina load kwa muda mrefu mwisho ikafail...