Recent content by Vicky Cruz97

  1. Vicky Cruz97

    JamiiForums Tanzania AfDB kuipatia Tanzania zaidi ya shilingi Trilioni 1 kujenga uwanja wa ndege Msalato

    Ukwel wa mambo tutaujua awamu ya sita sshv mazingaombwe tu
  2. Vicky Cruz97

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kazi: Nianzie wapi kwenye biashara?

    Mshahara wake sio kwamba ni million mbili hiyo amekusanya mwaka mzima
  3. Vicky Cruz97

    JamiiForums Tanzania Dkt. Shika sasa ana maisha magumu, hana pa kuishi

    Hivi Yule wa wanyonge yukwapi
  4. Vicky Cruz97

    JamiiForums Tanzania Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

    Ss mtu hatoi mziki hata mwaka mzima unasema anategemea mziki huyo Kula??
  5. Vicky Cruz97

    JamiiForums Tanzania Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

    We ndo hujui kabisaa hahahahaha alokwambia tv radio ni zake nan pole mkuu kumbe hata hujui nini kinaendelea pole sana hahaha angalia hata hisa anazomiliki pale ni kiduchu yy sio radio yake wala tv yake ila brand yake ndo umetumika ila yy sio owner umeelewa usirudie tena kusema hivo utachekwa...
  6. Vicky Cruz97

    JamiiForums Tanzania Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

    Anaimba ndyo kama kazi ya ziada kukiongeza kipato ndugu sio kama mondi....halaf kiba sio mtu wa kuanika mambo mtandaoni kama huyo mwakitombile
  7. Vicky Cruz97

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kazi: Nianzie wapi kwenye biashara?

    Asingejipanga maana yake hata hiyo milioni mbili asingekuwa nayo. Anachoomba hapa ni wazo la biashara kwa mtaji wa milion mbili.
  8. Vicky Cruz97

    JamiiForums Tanzania Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

    Unadhan au unataka kila kitu aweke mtandaoni bro ni utoto nikwambie ukwel ni utoto kama unaweka kila kitu mtandaoni
  9. Vicky Cruz97

    JamiiForums Tanzania Anahatarisha uhai wa ndoa yangu

    Fuatilia kwann inatokea hivo unadhan unashangaa nayy anapata huduma nje
  10. Vicky Cruz97

    JamiiForums Tanzania Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

    Exactly kiba sio muongeaji ila mpaka anaongea ujue the thing is real
  11. Vicky Cruz97

    JamiiForums Tanzania Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

    Kiba hajafeli mziki sema kiba hategemei mziki mondi anategemea mziki n.a. anapenda sifa mond ni mnafiki kweny media anajidai kondoo kumbe mbwa mwitu
  12. Vicky Cruz97

    JamiiForums Tanzania Watu mkatae au mkubali, Clouds (CMG) kupata mpinzani sio leo na wala hatokuja kutokea

    Mh ngoja wasafi waje😂😂maana wanajionaga malaika
  13. Vicky Cruz97

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Jaman wanaume mjitahid usafi unakuta mtu anavuzi hilo harufu ss
Back
Top Bottom