Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,082
- 61,999
- Thread starter
- #81
ha ha ha hamna kitu ninachochukia kama hichoUnapewa Mara moja kwa wiki.
ha ha ha hamna kitu ninachochukia kama hichoUnapewa Mara moja kwa wiki.
ha ha ha mume wake atapata shida sanaTafuta mwanaume wa kuishi naye
Sawa mkuuPiga block mkuu usihsngsishsne nao
Nikuulize swali,mwanaume anatakiwa apate nini kwa mwanamke na kwa mara ngapi?Akili ya maisha,elimu ya darasani na pesa unayo Sana,ila inasikitisha Sana elimu ya ndoa Ni sifuri..
Wewe brother ni Zaidi ya mhuni
Huna mke?Nikuulize swali,mwanaume anatakiwa apate nini kwa mwanamke na kwa mara ngapi?
Wapo wanaojificha nyuma ya kivuli,lakini wanatupia balaaKweli mkuu,ukiona mtu ametulia sehemu moja inawezekana labda nguvu ziko chini,mdomo mzito,au umasikini unachangia
Pole wa block tu usimwache mtu kwa maan kuna leo na kesho huwezi jua .Nimekuwa na uhusiano wa pembeni wa hapa na pale, kwa ajili ya kupooza injini pale inapopata moto. Mbaya zaidi hawa warembo wangu wamekuwa na tabia ya kunijulia hali hata kama ni usiku wa manane bila kujali muda ule niko na bi mkubwa au la.
Nimejaribu kuwaeleza kila mtu kwa muda wake kuhusu utaratibu wa mawasiliano, lakini baada ya siku mbili tatu tatizo linarudi tena.
Natamani kuwaacha lakini roho inauma. Imenibidi kila ninapokuwa na mwenzangu niblock namba zao ili kunusuru ndoa yangu.
Wakuu tatizo la namna hii huwa mnatatuaje?
ha ha ha mahitaji ni makubwa kuliko kinachopatikanaHuna mke?
ha ha ha haWapo wanaojificha nyuma ya kivuli,lakini wanatupia balaa
Kweli mkuuPole wa block tu usimwache mtu kwa maan kuna leo na kesho huwezi jua .
Amen.MUNGU ninusuru na haya mafurushi [emoji24]
Endelea na uhuni wakoha ha ha mahitaji ni makubwa kuliko kinachopatikana
Huyu ni mtoto tu anacheza na akili zenu. Hakuna mume wa mtu hapo.Akili ya maisha,elimu ya darasani na pesa unayo Sana,ila inasikitisha Sana elimu ya ndoa Ni sifuri..
Wewe brother ni Zaidi ya mhuni
FURUSHI.Tafuta mwanaume wa kuishi naye
Fuatilia kwann inatokea hivo unadhan unashangaa nayy anapata huduma njeChangamoto mkuu,unaweza kuhitaji huduma usiipate kwa muda unaotaka
Uhuni ni nini mkuu?Endelea na uhuni wako
Majukumu mengi mkuuFuatilia kwann inatokea hivo unadhan unashangaa nayy anapata huduma nje
Utafanya yote ila mkeo ndio mtu wa maana kwa maisha yakoKwa nini mkuu
Kweli mkuu,huku nje tunapasha tuUtafanya yote ila mkeo ndio mtu wa maana kwa maisha yako