Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Awe anaanika juani pumbu kwa angalau saa moja kila siku.

Pia asivae chupi. Kila baada ya siku tano awe anaenda kuogelea baharini kwa saa mbili mpaka tano.
Uwe unatoa mbegu kabla ya kuvuta mkuu
 
Mi pia zimenisumbua mwanzo wa mwaka huu ilikua hatari ....Nimetumia dawa nyingi sana Kuanzia tube""kama sonaderm
Za asiri............."miez 5 full kujikuna"

Lkn kuna uzi Upo humu walishauri vizuri nimefata masharti Now Nimepona kabisa.....
Kwanza usafi muhim""""" """"" jitahid kuoga zaid ya mala 2 kwa Siku...Maji vuguvugu.......
Badilisha boxsa kila ukioga na usipend kurudia boxsa uliyovaa .........
Sabuni tumia Za kawaida kama zile ikibid jamaa""( Gwanji_Za kigoma)
Kwani hiz medicated zinaua mpka bakteria wanaolinda ngozi ...

Fata hayo uku ukitumia tube (sonaderm kidogo) .....
Kunywa maji mengiiiiiii sana kwa siku ngoz inawili.......

Vitamin c muhimu Kama matunda machungwa kwa wingi......
Nilifata maelekezo haya nikapona kwa Wik 2 tuu( Mung Mkubwa)

N.B
Mala nyingi magonjwa haya hutokea kinga ikishuka
 
Usivae chupi mbichi au zenye unyevu.
Usivae chupi zinazobana.
Oga Mara kwa Mara kwa sabuni za kawaida.
Muone daktari kwa ushauri.
 
Miaka hii bado kuna fungus za pumbu bado zipo dah, na ukienda kwa demu unafanyeje sasa,

Tumia ant fungal (contrimazole cream , ketokonazole cream, zikitimba kwa damu dani tumia za kumeza
 
Hii biashara ya fulani unamwombea ushauri wakati ni wewe iishe mwaka huu...

Tumia limao ila kwa uchungu wake sijui kama utapaka mara ya pili.
 
Kwenye pumbu lazima kuwe kukavu ndio fungus hawatakaa huko.
Mambo ya kuwa na chupi mbili uachane nayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom