Recent content by Viali

  1. V

    JamiiForums Tanzania Kusema Majaji ni maCCM ndiyo kauli mbaya kuliko zote kwenye kesi ya Mh. Lissu

    Jaji anamuuliza shahidi hiyo ni fact au assumption? shahidi anabadili njia
  2. V

    JamiiForums Tanzania Jebra: Haikuwa sawa Lissu kunyimwa mashahidi aliowaita

    anaingilia uhuru wa Mahakama, akitaka aombe kazi a uhakimu.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

    Kabla a uamuzi mdogo mlisema Mahakama haiowaia, imewaia mnasema wakuu watapanga safari, mnahangaika sana.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

    Jiandae kisaikolojia kuyapokea usiyafurahia.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Alikubamiza miezi nane gerezani, leo mmekuwa marafiki wa kufa na kuzikana

    Sahihi
  6. V

    JamiiForums Tanzania Ni mwanasiasa wa kutumia fursa kwa maslahi binafsi

    Mngemuacha awe na huru na maamuzi yake, mkiendelea kuujadili uamuzi wake ni kama mnaingilia uhuru wake kiasi ambacho yeye amewaachia uhuru wenu. Mkilazimisha kuonesha kuwa wakati wa uongozi alikuwa mnafiki mtapoteza muda maana ni wazi alifanya kazi za kutafuta kuongoza nchi bahati mbaya...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    mnaobsha mtafanya watu wasiiamin jf, naenda kuripot tarehe 8, ta
  8. V

    JamiiForums Tanzania Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    angalia vizuri majina yapo,nani hajaona nimuangalizie
  9. V

    JamiiForums Tanzania Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Ni kawaida kwa binadam anaposubir jambo huwa na shauku, vizur umetoa ushuhuda.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Sawa, acha tusubiri
  11. V

    JamiiForums Tanzania Nimeamua sasa KUJIAJIRI tu YATOSHA!

    Hayo ndo maamuz ya msing kwa sasa, ni wazo zuri endlea nalo. Wenzako toka 2010 juhud na maisha yanaendlea.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kwa anaeangalia Malumbano ya Hoja ITV, hivi kweli hawa ni wanafunzi wa Chuo Kikuu?

    Labda wanatetemeka kuonekana kwenye kioo
  13. V

    JamiiForums Tanzania Bado wewe kuandamana

    Ishakuwa staili
  14. V

    JamiiForums Tanzania Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    Iko siku wataelewa kwann mungu kaumba me na ke.
  15. V

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupigiwa simu jana, nina maswali 3 kwa wapinzani wa UKAWA ndani ya CHADEMA na CUF

    UKAWA wanaakila sana sasa hivi wanahamasisha watu then mwakan kwenye uchaguz wanarud kwenye vyama vyao, dhambi ya uroho itawatafuna milele
Back
Top Bottom