Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

Posts nyingne za kipumbavu na zinakera, hata kutaja source vizur watu hawataki, wanakazana yametoka yametoka. kama huna source kaa kimya usijaze thread
 
Hahahahaha me nacheka kwn, watu mtakufa na presha za humu jamvn na majna hayajulkan yatatoka ln, leo nmechungulia hr department wanashortlist zle nafac 560 hawana hbr na ile interview ya tar 4 na tano may
 
Mie nmepata ndugu!! Endelea kusema hivyo hivyo!! Maana watu mnabishana Na ukweli
 
Mie nmepata ndugu!! Endelea kusema hivyo hivyo!! Maana watu mnabishana Na ukweli
Hata mimi nimepata, nimepangiwa Sumbawanga. Kuripoti ni tar 8.06. Hapa najiandaa jumatatu niingie ofisini. Asante Mungu. Asante wana JF.
 
Wa jf, k wa weny majna wamsaidie huyu mtu. Sauwael ahimidiwe urio
 
Majina yametoka dairly news na (mtanzania ya tarehe 1 June ukurasa wa 26---) Kuripoti ni next monday tarehe 8.6.2015 katika ofisi za mahakama za kanda....all the best.
 
Nimejaribu kuscan na ku attach kama nimechemka mnisamehe

sawa mkuu but ungejaribu ku scan page zote na ukatupia hapa, ili na wenzetu wakaona. Mungu atakubaliki sana. mimi ningefanya hivyo but, hata mimi niliangaliziwa na mtu akanitumia,but ni vipande vifupi sana.
 
Majina yametoka dairly news na (mtanzania ya tarehe 1 June ukurasa wa 26---) Kuripoti ni next monday tarehe 8.6.2015 katika ofisi za mahakama za kanda....all the best.

Hivi wanaposema mahakama ya kanda wanamaanisha mini naomba nisaidiwe wakiu
 
Kwa mfano nipo kanda ya moshi ila nimepangiwa wilaya ya same je naenda moshi mjini au same?
 
Back
Top Bottom