Recent content by Veteran Sailor

  1. Veteran Sailor

    JamiiForums Tanzania Familia ya Rais wa zamani wa Brazil, Bolsonaro, mke na Watoto Washinda Nafasi za Useneta. Mtoto mkubwa Aongoza Kura za Rais. Vipi ingekuwa Tanzania?

    Ishu sio watoto wa Raisi kushika Madaraka ishu wameshinda kihalali?? Hapa ndipo tunapotakiwa tulinganishe.
  2. Veteran Sailor

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Au hutambui namba ya ndege ya Raisi.!!
  3. Veteran Sailor

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Maegesho yake yako Zimbabwe siku hizi.!
  4. Veteran Sailor

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Tufanye Raisi hajaenda,tupe maelezo hiyo ndege ya rahisi kaenda nayo nani??
  5. Veteran Sailor

    JamiiForums Tanzania Taasisi kama TRA, ualimu, NSSF, Tanroads, TARURA, BOT, n.k wanatakiwa waajiriwe kwa mkataba wa miaka 10 baada ya hapo waajiriwe wengine

    Miaka 10 kwa mshahara gani? Utakuta mtu unamaliza hiyo miaka 10 hata kiwanja huna. Acha tuangaike na hiyo 60,tukimaliza tunastaafu,hatupumziki tena tuna lamba teuzi ya ubalozi.au ukuu wa Mkoa.
  6. Veteran Sailor

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Swala ni usalama wa taifa kuwepo na wala sio mahali msiba ulipo.
  7. Veteran Sailor

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Usalama wa Taifa wa Zimbabwe umedhibiti kila kitu,unadhani picha zitapigwa vipi??
  8. Veteran Sailor

    JamiiForums Tanzania Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Kama ulishuhudia basi unaelewa kabisa kwamba kulikuwa na waandamanaji na wahuni waliotumia maandamano kwa faida zao binafsi.
  9. Veteran Sailor

    JamiiForums Tanzania Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Hili jambo la kusema watu waliandamana sababu ya kuchochewa na mtu au kikundi cha watu limekaa kinafiki sanaa. Inamaana miaka hii bado mnadhani watu hawajitambui au kujua haki zao mpaka wakumbushwe na mtu?? Hata yanayoendelea nchini kila mtu anaona na anaelewa mtu huyu haitaji kuambiwa...
  10. Veteran Sailor

    JamiiForums Tanzania Hodi humu

    Huu mwandiko naufahamu.
  11. Veteran Sailor

    JamiiForums Tanzania Imetimia mwisho wangu!

    Kwahiyo wamama wamemponza
Back
Top Bottom