Hii list ni ya Nigeria, sio ya Afrika.
Sababu ya mimi kusema Nigeria inatuheshimisha Afrika nzima ni kwamba yani hata dunia ikiangalia na Wahindi wenyewe na Waarabu wakiangalia Nigeria wanaona kumbe kuna Waafrika weusi ambao wanaweza kuwamudu na kuwadhibiti foreign aliens wasitutawale...
Ukiona jina la Kiarabu hapo, kama huyo namba mbili, don't get it twisted, ni jina la Kiislamu tu, huyo ni Mhausa mzawa, mweusi kama kinyago cha Mpapule....
Wanatembea kifua mbele, kwenye nchi ya watu weusi, inayompaisha mtu mweusi
That is so freaking nice yani.....
Wakina Davido wana uelewa mpana sana wa mambo ya civic knowledge. Sio hawa wa kwetu.
Huyu anambembeleza Rais na Waziri Mkuu binafsi wamlinde Mama yake.
Mamaako alindwe kwani we nani ???????
Kama wewe una platform, jina na sauti kwenye jamii tetea ulinzi wa jamii nzima. Elekeza nasaha zako...
Vihabari vidogo vidogo vya mishahara ya vibarua wa Uganda vinatuhusu nini sisiiiii ???
Uganda wana discuss mambo ya bongo?
Kwa nini tusijikite kwenye ya kwetuuuu????
Mtanganyika kwa nini anapenda ku kiss stinking ass za watu wa mataifa mengine ?
Halafu habari inapewa permanent front page...
Tulidai uhuru ili tujitawale kibangi bangi ???
Niliwahi kuishi nje. Sikuwahi kwenda kwenye ofisi ya serikali ( uhamiaji, ofisi ya kodi, msajili wa leseni na magari, mahakama, msajili wa kupiga kura, msajili wa ardhi, msajili wa bunduki nk nk) nikaambiwa wahusika wameenda Washington DC, au wako...
Anaekuza mambo hapo ni wewe.
Mmetumia kuzaa kama kigezo cha kukupandisha wewe umuhimu wako juu yangu mimi kwenye ndoa.
Umenizalia watoto ? Na mimi nimekutolea mbegu !!!!
Na hao watoto wewe ndio utakaofaidika nao muda mrefu zaidi!
Usijaribu kunipumbaza kwa kusema umenizalia watoto...
Na yeye akiacha ile kubeba mimba ni nini kingine ambacho mwanamne hawezi kukifanya ?
Yeye ana mfuko wa uzazi mimi nina mbegu !
Watoto hajanizalia mimi !!!
Na atakaefaidika zaidi na watoto ni yeye.
Aliyemzalia mwenzake watoto ni mwanamke wa Michael Jackson, walipotoka hospitali mwanamke...
NAPINGA hapo unaposema mwanamke mwema, amekuzalia watoto. Kana kwamba ni favor amekufanyia.
Hao watoto ni wa wote wawili. Tena yeye mwanamke atafaidika zaidi na hao watoto.
Vichwa vya habari vizito, ndani upupu
Sioni wanapoeleza NI KIVIPI HANGA NI MPUMBAVU
Na NI KIVIPI KAMBONA NI MSALITI, MWIZI NA MALAYA
Jamaa alikuwa bonge la dictator
Nyerere alitufanya mafala na mapoyoyo sana kwa kutudanganya Afrika ni moja, dunia yote ni moja
Ndo maana tunavaa bendera za Kenya na kutundika bendera za Israel na Saudi kwenye magari na daladala
Mapoyoyo ndio wanajipamba na mabendera ya nchi nyingine.
Mkenya never ever kamwe hatovaa bendera...
Halafu uraia hautolewi kwa vigezo vya kujua mpira
Tuseme angekuwa mchezaji kibonde, angeenda kuomba uraia wa Tanzania angeambiwa we hujui mpira, hupati uraia ?
Na pia Waziri ame assume kwamba Mzambia anautolea udenda uraia wa Tanzania just because anacheza mpira wa kulipwa Tanzania. Chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.