hakuna tofauti yeyote kati ya aliyeolewa na asiyeolewa, kwani hao waliye ktk ndoa wengi utulivu zero, mwanamke ana mume lkn nje ana wanaume zaidi ya watatu, na mume naye vichenchede kibao. na aliye single anaishi maisha mzr, anapambana na life, anasaka mshiko, anaishi bila ya stress. so hakuna...