Averos
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 994
- 703
Check me when I will turn my "realistic mode" on.
Insha Allah, but u need to alert me when that happens.
Check me when I will turn my "realistic mode" on.
Msaranga, mbona unanitisha? I'm smart na mke wangu ni smart pia na tunapendana mno (japo naibia nje kidogo ila nampenda mke wangu ile mbaya), sifikirii kumwacha hata siku moja kwani sioni mwanamke anayelingana naye huko nje. Kidogo naweza kumlinganisha na FP hapa JFna ndiyo maana natamani sana kumuona yeye live nimpe offer ya mishikaki.
nina imani kuwa sitovuna chochote kwani si mimi niliyepandikiza utokaji nje ya ndoa kwa wanadamu. Tumeyakuta na tutawaachia watoto wetu waendeleze libeneke.
Nina imani kuwa sitovuna chochote kwani si mimi niliyepandikiza utokaji nje ya ndoa kwa wanadamu. Tumeyakuta na tutawaachia watoto wetu waendeleze libeneke.
ayanda, hayo unayosema hapo juu ni hisia zako. Kwani nani amekuambia mke wangu hatongozwi nje? Mimi mbona sijasema hayo na sina mashaka nayo kwani mke wangu ni bomba mno, yaani ni mzuri kupita na nampenda kwa kila kitu. Hivyo kutongozwa kwake mimi sishangai na nilishamweleza kama itatokea kaingiwa na shetani basi ajikinge. Kutongozwa ama kutoka nje ya ndoa tupende tusipende ni jambo la kawaida sana ila basi tu watu hawataki kuamini hivyo. Wewe mwanamme kama una hamu ya kutoka nje ya ndoa na mkeo pia anajisikia hivyo hivyo, tusidanganyane. Wanafilana mapadre na walokole sembuse sie?
kama mkeo ni mzuri na huwezi kumlinganisha na yeyote huko nje sasa unafata nini huko nje? Kutoka nje ya ndoa si jambo la kawaida hata kidogo hata ujustify vipi, dhambi ni dhambi tu na itabaki kuwa hivyo
mh..tutafika kweli kwa mtindo huu tz bila ukimwi haiwezekan..
kuna watu mnapenda ligi!!
mimi napenda bundesliga na premier league, wewe je?