Recent content by vero2p

  1. V

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 50 haina kazi

    Wape yatima milioni 6 tu. Milioni 4 nunua vitanda vya hodi ya mama wajawazito. Hizo 40 saidia ndugu zako
  2. V

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa nguvu za kike

    Hasitumie njia yeyote ya uzazi wa Mpango.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Nataka kusafirisha mbwa wangu kuja Tanzania

    Inategemea mbwa wa aina gani wanyama au wakufuga
  4. V

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi nchini Botswana, mshahara us dolla 700 kwa mwezi

    Isikuchanganye dollars hiyo ni hela ya mboga tu. Ukilinganisha na price fluctuate ya Botswana
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nimetembea na ‘house Girl’ wangu na sasa ana mimba

    Kufa kiume
  6. V

    JamiiForums Tanzania Je unataka kujua siku ya kifo chako?

    mmmmh.! Hapana aisee
  7. V

    JamiiForums Tanzania Kama dunia inazunguka, kwanini miamba na milima haiporomoki? Na kwa nini bahari isimwage maji yake?

    Huwezi jua Y??? Lakini ingekuwa inatikisika ungejua
  8. V

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu ngani katika mwili wa mwanamke ambayo inavutia sana machoni?

    Akinyoa nywele harafu awe na chogo raha tupu
Back
Top Bottom