Recent content by veran

  1. V

    Maeneo ya wazi yaliyovamiwa na majengo yanayostahili kuvunjwa

    Jangwani kuelekea kituo cha TTCL. Barabara imefungwa na mwenye yard ya kuuza magari. Karibu na kituo njia imefungwa na mtu aliyejenga nyumba.
  2. V

    Mayai ya kware yanapatikana kwa wingi sasa

    Sisi pia tunauza mayai ya kware kwa bei ya shilingi 20,000/= kwa trei. Tunahamasisha na kutoa elimu juu ya ufugaji bora na faida za ufugaji wa kware. Tunaonesha wenye nia ya kufuga namna ya kutengeneza mabanda bora na ya bei nafuu. Tunauza kware wa wiki moja shs. 4000/=, wa wiki mbili shs...
  3. V

    Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

    Bei zetu za kware ni nafuu sana. Tunaelekeza namna ya kujenga cages (mabanda) bure na kuwapa michoro ya hayo mabanda bila gharama (free of charge) piga simu 0715 284 187 kwa maelezo zaidi. Shamba la mfano tunalo maeneo ya Mbezi Luis na kuona ni bure. Karibuni kwa huduma ya kware na bidha zake.
  4. V

    Kwa wanaohitaji kufuga Kwara, vifaranga vinapatikana na elimu bure

    Sisi ni wafugaji wa kware wa mayai ambao hutaga wiki sita tu baada ya kuanguliwa na huendelea kutaga kila siku kwa miezi 30. Kwa mwaka hutaga wastani wa mayai 280 hadi 300. Tunauza vifaranga (kware) wa wiki moja shs. 4000, Wiki mbili shs. 6000, na wiki nne shs. 8000. Tuko Mbezi Luis, wilaya ya...
  5. V

    Bata mzinga wanauzwa

    Pata bata mzinga mkubwa wa kitoweo kwa shs. 150,000.00 na wa kufuga mwenye umri wa wiki 8 kwa shs. 35,000. Piga simu no 0715 284 187. Tuko Mbezi Luis Kinondoni - Dar es Salaam
  6. V

    Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

    Hapana shaka. Yako mengi ya kuelezea yatokanayo na faida za mazao ya kware. Ili tusiwachoshe wale ambao hawajawa tayari kwa huduma hii basi tunadhani kwa vile mawasiliano (0715 284 187) yametolewa anayehitaji maelezo hayo atafanya mawasiliano. Nakushukuru kwa changamoto.
  7. V

    Natafuta kwale, bata mzinga na kanga wakufuga.

    Kware tunao kama utahitaji. Piga simu 0715 284 187. Tuko Mbezi Luis. Mayai pia yapo . Bei 20,000.00 kwa "tray"
  8. V

    Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

    Mayai ya kware ambayo ubura wake umekuwa ukielezwa kwa muda sasa yanapatikana kwetu kupitia simu no. 0715 284 187. Tuko Makabe/Mbezi Luisi. Vifaranga na hata kware wakubwa wanauzwa pia. Tray ya mayai ni shs. 20,000. Tunatoa elimu ya ufugaji wa kware na kuonyesha jinsi ya kufuga kwa kutumia...
  9. V

    Mayai ya kwale bei pouwa kabisa

    Kware wa siku 7 tunao. Pia wa wiki 2, 3, na hata nne. Bei kwa siku saba ni shs. 6000 kila mmoja, wiki 2 shs. 8000 na wiki tatu hadi nne shs. 10,000. Mayai tray ni shs. 20,000 tu. Piga simu 0715 284 187. Tuko Makabe/Mbezi Luisi.
  10. V

    Sakata la ujenzi wa jengo la ghorofa 19 ikulu: Nani wa kumfunga paka kengere?

    Ndugu zangu mimi nadhani tuangalie mbali zaidi. Sehemu ilipo ikulu yetu kwa sasa sio salama tena kwa mambo mengi. Ni tishio hata kwa sunami, mazingira machafu yatokanayo na uchafu uelekezwao baharini, shuguli za kibinadamu kama za uvuvi na kata uchomaji taka hasa za hospitali iliyoko jirani...
  11. V

    Mawasiliano tiGO yakatika; haki ya mtumiaji iko wapi?

    Kwa hili wote tuliathirika na hili la huu mtandao kutokuwepo hewani tukifungua mashtaka dhidi ya tiGO na kudai fidia kwa hasara tulizopata kutokana na bugudha hii nina hakika mtandao huu utafilisiwa na ubabaishaji wake utakuwa umefikia kikomo. TCRA mnatuambia nini katika hili. Tungependa kuona...
  12. V

    Sakata la kuuzwa UDA: Kauli za Idd Simba, Masaburi, Kisena et al utata mtupu

    Mpango mzima wa kuwaibia Watanzania katika mradi huu wa uuzaji wa Uda Umebumburuka na hivyo ni vyema kwa hili wakanyanyua mikono kama ishara ya kusalimu amri. Tungewapa muda wa kusalimisha mapato haya yaliyolipwa serikalini kama tulivyofanya wakati wa sakata la EPA. Mzee akikaidi kuzisalimisha...
Back
Top Bottom