Mayai ya kwale bei pouwa kabisa

Mayai ya kwale bei pouwa kabisa

Siku hizi binadamu anaweza kula chochote hata Kimba. Mradi mwambie kinakuza uume,makalio na kuongeza nguvu za kiume!
 
Nahitaji kware wa siku 7 kama 20, vp unao?

Kware wa siku 7 tunao. Pia wa wiki 2, 3, na hata nne. Bei kwa siku saba ni shs. 6000 kila mmoja, wiki 2 shs. 8000 na wiki tatu hadi nne shs. 10,000. Mayai tray ni shs. 20,000 tu. Piga simu 0715 284 187. Tuko Makabe/Mbezi Luisi.
 
Back
Top Bottom