Recent content by Venusto

  1. Venusto

    Mbowe, acha kumuandama Hayati Magufuli kwa Kutumika vibaya

    Wanaomsema Yesu ni wele wapinga Kristo. Na wanao msema MAGU ni wale Mafisadi walibanwa mirija Yao.
  2. Venusto

    Nilisafiri kwa pikipiki Dar mpaka Tabora

    Dactari mmoja alisema kutembea kwa pikipiki mda mrefu kuna dhofisha nguvu za kiume, kwamba madereva bodaboda wapo kwenye hatari hiyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Venusto

    Nilisafiri kwa pikipiki Dar mpaka Tabora

    Dactari mmoja alisema kutembea kwa pikipiki mda mrefu kuna dhofisha nguvu za kiume, kwamba madereva bodaboda wapo kwenye hatari hiyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Venusto

    Kwanini spare tyre huwa vidogo?

    Nimevikusanya nikavifunga vote vodogo, machine imetulia barabarani balaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Venusto

    ANATAFUTWA MUUZAJI WA DIGITAL SCALES TZ

    Kwa yeyote anajua kama kuna Kampuni au mtu anauza digital scales hapa tanzania msada tafadhali anijuze. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Venusto

    Gari yangu inakosa nguvu mlimani

    Hive karibuni ratizo hili lili nikumba pia, Fundi alinitaka nibadilishe fuelpump na plug, baa ya kubadilisha tatizo limeisha Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Venusto

    Daah! Aisee, nimetengeneza mtindi safi kabisa kwa njia hii

    Sema umeme ulikatika maziwa yakiwa kwenye frig ndio ukapata mtindi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Venusto

    Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

    Kijijini Mama yangu akipika kabichi alipenda kuunga alizeti, mpaka sasa naipenda mboga hii balaa, kuliko chainise Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Venusto

    Wanaume wenye sura ngumu za kibabe wanajua mapenzi, kujali na kwenye mechi wanacheza ka Ronaldo

    Hakika surangumu ni mtaji Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Venusto

    Kumbe kulala kitanda kimoja na mke/mume yaweza kua karaha!

    Hawajakutana na baridi la Mufindi hao!!! Siku mwenza akitaka kusafiri utatamani msafiri wote. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Venusto

    Maajabu ya kuku(wa kienyeji)

    Inasemekana ule msmeno juu ya kichwa cha jogoo ni antena yenye uwezo mkubwa balaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Venusto

    Msaada wadau hii buton Inakazigani?

    Hii ni gari ya kazi!! Wenzio wanagombania! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Venusto

    Msaada wadau hii buton Inakazigani?

    Raiti ungekuwa unajua mazingira na kazi inayo fanya hii gari!! Ungali nyamaza tuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Venusto

    Msaada wadau hii buton Inakazigani?

    Asante kwa ushauri wako, nipo Mkoa /Wilaya yenye baridi sana hapa Tz ingawa sijawahi washa nadhani sasa nimejua matumizi yake. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom