Gari yangu inakosa nguvu mlimani

K

keneth83

New Member
Joined
Dec 9, 2018
Messages
1
Points
45
K

keneth83

New Member
Joined Dec 9, 2018
1 45
Naomba kusaidiwa gari yangu inakosa nguvu mlimani na inamisi kwa mbali nashindwa nifanyaje mana nimepeleka kwa mafundi lakini tatizo bado lipo aina ya gari NISSAN NOTE
 
M

Mzee wa Usafi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2008
Messages
642
Points
250
M

Mzee wa Usafi

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2008
642 250
Kuna sababu nyingi kwa gari kukosa nguvu. Gari yako haina nguvu hata kwenye tambarare kwa kuwa unapo panda mlima nguvu nyingi ina hitajika ndo maana unahisi na kusikia haina nguvu
Kwanza kabisa
1. angalia fuel pump yako kama ni nzuri
2. angalia spark plug zako
3. angalia sparl plug cables kama nzuri
kujuwa kama sparrk plug zako nzuri au zina toa moto nje fanya yafuatayo. Giza likiingia zima, fungua boneti ya gari yako, ita mtu akusaidie kukanyaga accelerator wakati huohuo wewe akuangalia kwenye eneo la spark plug, ukiona cheche zina ruka nje juwa kabisa zina tema moto nje badirisha. kwa cable nakushauri nunua genuine na mpya sio used ziwe zote
 
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
9,627
Points
2,000
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
9,627 2,000
Kama inaishiwa nguvu, achana nayo tafuta yenye nguvu
 
charldzosias

charldzosias

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Messages
1,367
Points
2,000
charldzosias

charldzosias

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2013
1,367 2,000
Naomba kusaidiwa gari yangu inakosa nguvu mlimani na inamisi kwa mbali nashindwa nifanyaje mana nimepeleka kwa mafundi lakini tatizo bado lipo aina ya gari NISSAN NOTE
Ni Auto or manual?

Well fata maelekezo ya jamaa hapo

Ila kwa ziada..

Je Gearbox uliwahi badilisha? Au iliwahi kuleta shida?

Kama ni Auto jaribu hili..

Ukiwa unapanda mlima pale nguvu ikiwa inashuka(inakuwa ndogo) badil gia kutoka D na kushuka mpaka L je kuna tofaut imetokea? Kama gari imepata nguvu bas mtafute fundi achek gearbox kwa undan zaidi

Swala LA miss check mafuta unayotumia yamekuwa contaminated na maji?

Je silencer ipo high or low? Jaribu kubalance..
Fuel filter ichek iwe ipo sawa na safi.

Plugs pia.. Zinachoma? Check katika plug chambers kama kuna mafuta mafuta..

Zen unaweza kujarib kuchomoa plug wakat Gar ipo on kuona mabadiriko ya injin.. (Kiufund zaid)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
9,627
Points
2,000
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
9,627 2,000
Achana nayo
 
Venusto

Venusto

Member
Joined
Jun 19, 2013
Messages
23
Points
45
Venusto

Venusto

Member
Joined Jun 19, 2013
23 45
Kuna sababu nyingi kwa gari kukosa nguvu. Gari yako haina nguvu hata kwenye tambarare kwa kuwa unapo panda mlima nguvu nyingi ina hitajika ndo maana unahisi na kusikia haina nguvu
Kwanza kabisa
1. angalia fuel pump yako kama ni nzuri
2. angalia spark plug zako
3. angalia sparl plug cables kama nzuri
kujuwa kama sparrk plug zako nzuri au zina toa moto nje fanya yafuatayo. Giza likiingia zima, fungua boneti ya gari yako, ita mtu akusaidie kukanyaga accelerator wakati huohuo wewe akuangalia kwenye eneo la spark plug, ukiona cheche zina ruka nje juwa kabisa zina tema moto nje badirisha. kwa cable nakushauri nunua genuine na mpya sio used ziwe zote
Hive karibuni ratizo hili lili nikumba pia, Fundi alinitaka nibadilishe fuelpump na plug, baa ya kubadilisha tatizo limeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A

Amanicreactivitiy

New Member
Joined
Sep 7, 2019
Messages
2
Points
20
A

Amanicreactivitiy

New Member
Joined Sep 7, 2019
2 20
Samahanini gari langu aina ya kirikuu lina kosa nguvu hasa wakati napand mlima nisaidien nijuw tatizo ni nn
 
mito

mito

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Messages
8,970
Points
2,000
mito

mito

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2011
8,970 2,000
Kuna sababu nyingi kwa gari kukosa nguvu. Gari yako haina nguvu hata kwenye tambarare kwa kuwa unapo panda mlima nguvu nyingi ina hitajika ndo maana unahisi na kusikia haina nguvu
Kwanza kabisa
1. angalia fuel pump yako kama ni nzuri
2. angalia spark plug zako
3. angalia sparl plug cables kama nzuri
kujuwa kama sparrk plug zako nzuri au zina toa moto nje fanya yafuatayo. Giza likiingia zima, fungua boneti ya gari yako, ita mtu akusaidie kukanyaga accelerator wakati huohuo wewe akuangalia kwenye eneo la spark plug, ukiona cheche zina ruka nje juwa kabisa zina tema moto nje badirisha. kwa cable nakushauri nunua genuine na mpya sio used ziwe zote
Mkuu hapo No.1 siyo kwamba unamaanisha injector pump au carburetor kama ni petrol engine?!
 
Forum statistics

Threads 1,336,573
Members 512,661
Posts 32,543,979
Top