Recent content by Venance Asanwisye

  1. V

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Adam Malima kutetewa na Wakili Kibatala?

    Hapo kesi imefika mahali pake hasa, maana ndugu zangu huwa wanajielezea vizuri sana kwa upande wao, sasa kwa kibatala lazima wataomba poo. Issue ya kibatala kukubali kumsaidia kada wa ccm hiyo ni individual, haingiliani na mambo ya uccm au uchadema. So kibatala piga kazi kwa nguvu zote ili...
  2. V

    JamiiForums Tanzania ZIMBABWE: Mchungaji aliwa na Mamba Watatu akijaribu kutembea juu ya maji kama Yesu

    Mungu hajalibiwi hata siku moja.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Ili kumkomoa Lipumba na CCM, Maalim Seif akubali kukaa meza moja na Lipumba

    Maalim kamwe ulikubali wala kukubaliana na msaliti. Ulikubali tu ujue hadhi yako itakuwa imepotea kabisaa, uckubali kufanya mazungumzo yoyote na msaliti huyo. Kama ni kufutwa Chama bora kifutwe lakini sio ujishushe kwa mtu ambae ni msaliti. Chonde chonde. Huyo mwache ahangaike hivyo hivyo.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Rais kuwaandikia barua Wakuu wa Mikoa kwenye majanga sio sahihi

    Kwani Rais akienda kuongoza maombolezo, kutakuwa na shida gani?
  5. V

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa sukari: Bodi ya sukari kuagiza bidhaa hiyo toka nchi za nje

    Bodi ya sukari si walisema wanayo sukari ya kutoshaeleza kiasi kwamba sukari ya nje isiingizwe! Kulikoni tena?
  6. V

    JamiiForums Tanzania DC Kahama amwonea vikali mwenyekiti wa mtaa CHADEMA

    Akitoka tu afungue kesi haraka sana, tumechoka kusikia amri za ajabu ajabu tuu
  7. V

    JamiiForums Tanzania Furaha na bashasha hii ya wafanyakazi katika Mei mosi ya 2017 ni ya dhati!?

    Watu hawana furaha kabisa, cjui labda aongeze mshahara
  8. V

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nape ataadhibiwa na CCM kwa kauli ya kusema alikitoa chama shimoni uchaguzi wa 2015

    Saa nyingine kiki zinatafutwa kwa nguvu mno. Wewe umekikuta Chama kipo hapo kilipo fanya yako nawe tuone.,umeongezea kitu gani ktk uongozi wako. Kurukia rukia matamko ya watangulizi wako na kuyakosoa ilihali watu wote wanajua Nape alifanya nini kwa ajili ya Chama mpaka hapo kilipo, utaonekana...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Hapa ndio nimekubali maneno ya babu yetu wa taifa hayati JK Nyerere kwa CHADEMA

    Mimi nasema ccm hawastahili kukosoa Chama kingine.Wayamalize madhaifu yao ndipo wakosoe vyama vingine.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Ya Kikwete na Lowassa, hakika wapambe ni nuksi

    Hakuna cha wapambe wala nini. Hapo kuna mojawapo ni msaliti, kigeugeu!
  11. V

    JamiiForums Tanzania Mtifuano CUF: Maalim Seif kumtoa Lipumba siku ya Jumapili

    Aisee ya kweli haya? Kama ni ya kweli basi tunakoenda sio kuzuri. Eeeee Tanzania yangu ni nani anakushauri hivi?
  12. V

    JamiiForums Tanzania Magari yaliyotumika kuvamia mkutano wa CUF ya Maalim Seif yakutwa ofisi za CUF Buguruni yameegeshwa

    Sasa kama mlishindwa kuhimili kichapo mlichopewa na kukimbia je utakilinda Chama chako kwa nguvu ipi? Nguvu nyingine utaitoa wapi? Mimi nilifikiri ulikuwa mkutano wa cuf kumbe walikuwa chadema? Sasa mlishindwaje kukilinda Chama chenu? Angalia mnavunjwa miguu, wakati aliewatuma katulia tuli!!
  13. V

    JamiiForums Tanzania Itashangaza sana kama bado Lowassa na Sumaye wanaendelea kupokea masurufu ya Ustaafu

    Mtoa mada yaani umeonyesha ni kiasi gani hujui ketenganisha kati masuala yanayo husu serikali, na masuala yanayohusu vyama. Umejianika kabisa kuwa wewe huna lolote uijuayo.
  14. V

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Ndalichako alimsahau RC Makonda au alimaanisha nini

    Hiyo nikujisahau cdhani kama alikusudia, anyway nisimsemee labda alighafilika!!
  15. V

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Tume ya Maadili yakubali mashitaka dhidi ya Paul Makonda

    Mkuu wa hiyo tume.
Back
Top Bottom