madudeyahatari
Senior Member
- Apr 11, 2017
- 137
- 39
Hawa jamaa walikua maswahiba ile mbaya, mpaka ikafikia Kuitwa boys 2men.
Walipendana na kuaminiana kwa kila Jambo.
Hata kama kuna sehemu walikoseana ingewezekana tofauti zao wangezimaliza kwa kusuluhu ambayo isingewafikisha hapa walipofikia.
Lakini wapambe wao ndo wamewafikisha katika hatua hii walionayo leo hii.
Hakika wapambe ni nuksi, Leo hii Lowassa angekua Rais wa jamuhuri ya Tanzania baada ya kikwete, lakini wapi!
Narudia tena kusema wapambe ni nuksi,tujihadhari nao. imebaki story.
Amen!