DC Kahama amwonea vikali mwenyekiti wa mtaa CHADEMA

Mkuu Kibarango, kwanza pole kwa tatizo hilo la M/Kiti wa Mtaa kutupwa selo. Nina swali dogo tuu, jee hiyo ni barua au draft ya barua?!. Tangu lini barua za serikali hata ya mtaa zikaandikwa bila muhuri?. Hivi kwenye serikali ya Magufuli, wilaya yenye umeme kama Kahama, bado kuna barua zikaandikwa kwa handwriting?.

Paskali
Bashite alipokuwa anaandika orodha ya majina ya wauzaji wa madawa ya kulevya kwa handwriting tena mengine akawa anakosea ulihoji?
Unafikiri alishindwa nini kuya print ukizingatia hapa DSM umeme upo full masaa 24, pia unataka uniambie ofisi ya Bashite aliyoikarabati kwa mamilioni ya pesa ikawa ya kifahari ashindwe kuweka printer kwa matumizi ya ofisi?

Uongozi wa awamu hii ni wa aajabu haijawahi kutokea.
 
Acha uongo wa kinafiki mtoa post unasema Leo saa Tatu asubuhii DC kamwonea mwana chadema. Sasa hivi ni saa 11:30 Asubuhi hata saa Tatu Bado umeumbuka na ndio tar. 3/5/2017 saa Tatu Bado feki hiyo danganya wa Chadema wenzako tena wale wajinga weredi wata kuelewa uongo wako mchonganishi nimekushka Kwenye mda na watu wanakuchangia hoja yako non sense
 
Duuu!!! Tumefikia kutambuana kwa makabila, tunalibomoa taifa.
"hatuwezi kuacha kumchagua awe kiongozi wetu kwa sababu tu ni mkara, pia hatutamchagua awe kiongozi wetu kwa sababu ni wa kabila letu bwana!" - Nyerere.

Kama akili zilikuhama na zikurudie faster.
 
Mbona umeandika tarehe ya kesho na sasa ni saa tano usiku tarehe 2 Mei?

Umekosea au unatabiri tukio?

Ila kama yupo hivyo na imetokea hata mashahidi wakisema sio uongo basi, natumaini mkulu atamnyoosha hata kwa kumpa onyo kali.

Wewe hujui siasa kumbe. Huyo atakuwa promoted to Mkuu wa Mkoa kama jamaa yetu.
 
Nkurlu ni mnyiramba
Tundu Lissu ni mnyaturu

Manyiramba yanatuharibia sifa ya mkoa wetu adhim Singida.

Kama huna hoja acha kujibu.Tanzania kila RAIA anahakiya kuishi mkoa na eneo lolote bila kujali kabila lake .
 
Leo ni tar 3/5/2017 SAA 3:00 asubuhi bado haijafika.niandikapo ni SAA 1:38 asubuhi.
 
Mkuu Kibarango, kwanza pole kwa tatizo hilo la M/Kiti wa Mtaa kutupwa selo. Nina swali dogo tuu, jee hiyo ni barua au draft ya barua?!. Tangu lini barua za serikali hata ya mtaa zikaandikwa bila muhuri?. Hivi kwenye serikali ya Magufuli, wilaya yenye umeme kama Kahama, bado kuna barua zikaandikwa kwa handwriting?.

Paskali

Paskal Inamuhuri hiyo Barua angalia hapo kwenye saini ya mwandikaji wa Barua
 
Mkuu Kibarango, kwanza pole kwa tatizo hilo la M/Kiti wa Mtaa kutupwa selo. Nina swali dogo tuu, jee hiyo ni barua au draft ya barua?!. Tangu lini barua za serikali hata ya mtaa zikaandikwa bila muhuri?. Hivi kwenye serikali ya Magufuli, wilaya yenye umeme kama Kahama, bado kuna barua zikaandikwa kwa handwriting?.

Paskali
Paskali, hivi unaishi nchi gani weye? Unashangaa nini kuona barua imeandikwa kwa peni? Tena hapahapa Tanzania? Hebu rudi kwenye akili yako basi hata kidogo!
 
Leo tarehe 03/05/2017 majira saa tatu asubuhi. Mwenyekiti Wa Mtaa wa Mhongolo bw Emanuel Nangale ( CHADEMA) Hapa Kahama mjini kawekwa kizuizini kwa amri ya mkuu wa wilaya ya Kahama Bw Fadhil Nkulu.
Baada ya kufutilia kosa alilolifanya mwenyekiti huyo nimesikitika sana. Kwa kifupi Mkuu wa wilaya alimuagiza Afisa mtendaji wa kata amtaarifu mwenyekiti wa mtaa aandae mkutano wa hadhara kwa maelekezo kuwa mkuu wa wilaya anahitaji kuzungumza na wananchi wa mtaa huo, kuhusu mambo mbalimbali.

Baada ya mwenyekiti kupataa barua ikimtaka aandae mkutano, nae akaandaa mkutano huo. Wananchi walipofika mkutanoni DC hakutokea ndipo diwani wa kata husika akampigia simu. Cha kushangaza DC huyo akaja mkutanoni na polisi kisha akaamuru mwenyekiti wa mtaa bw Nangale wa CHADEMA awekwe kizuizini Massa 48.

Sababu aliyoisema DC ni kwamba hakuagiza mkutano huo uandaliwe. Cha kushangaza ni kuwa mwenyekiti anayo barua ikimuagiza kuandaa mkutano huo.

My take DC waaacha kutumia madaraka yao vibaya kuumiza wananchi wengine hasa DC huyu anamnyanyasa bwana Nangale Kwa kuwa amepata uenyekiti kwa tiketi ya chadema.
3e159652d01d8b2102344b1efe195228.jpg
barua ambayo ilimuelekeza kuandaa mkutano huo.

Mtoa mada umekunywa nini asubuhi ya leo mbon hata saa tatu haijafika bado? hata saa mbili na nusu bado, tulia kwanza relux, vuta pumzi taratiiibu, kanywe maji ya bariidi then njoo uandike tena tutakuelewa
 
Mkuu Kibarango, kwanza pole kwa tatizo hilo la M/Kiti wa Mtaa kutupwa selo. Nina swali dogo tuu, jee hiyo ni barua au draft ya barua?!. Tangu lini barua za serikali hata ya mtaa zikaandikwa bila muhuri?. Hivi kwenye serikali ya Magufuli, wilaya yenye umeme kama Kahama, bado kuna barua zikaandikwa kwa handwriting?.

Paskali
Mwenyewe nilitaka uliza hili swali tena kwenye wilaya kama KAHAMA!!.Halafu hivi hizi barua si huwa zinatakiwa kuwa na Kumbukumbu namba mbona hiyo haina?.
 
Leo tarehe 03/05/2017 majira saa tatu asubuhi. Mwenyekiti Wa Mtaa wa Mhongolo bw Emanuel Nangale ( CHADEMA) Hapa Kahama mjini kawekwa kizuizini kwa amri ya mkuu wa wilaya ya Kahama Bw Fadhil Nkulu.
Baada ya kufutilia kosa alilolifanya mwenyekiti huyo nimesikitika sana. Kwa kifupi Mkuu wa wilaya alimuagiza Afisa mtendaji wa kata amtaarifu mwenyekiti wa mtaa aandae mkutano wa hadhara kwa maelekezo kuwa mkuu wa wilaya anahitaji kuzungumza na wananchi wa mtaa huo, kuhusu mambo mbalimbali.

Baada ya mwenyekiti kupataa barua ikimtaka aandae mkutano, nae akaandaa mkutano huo. Wananchi walipofika mkutanoni DC hakutokea ndipo diwani wa kata husika akampigia simu. Cha kushangaza DC huyo akaja mkutanoni na polisi kisha akaamuru mwenyekiti wa mtaa bw Nangale wa CHADEMA awekwe kizuizini Massa 48.

Sababu aliyoisema DC ni kwamba hakuagiza mkutano huo uandaliwe. Cha kushangaza ni kuwa mwenyekiti anayo barua ikimuagiza kuandaa mkutano huo.

My take DC waaacha kutumia madaraka yao vibaya kuumiza wananchi wengine hasa DC huyu anamnyanyasa bwana Nangale Kwa kuwa amepata uenyekiti kwa tiketi ya chadema.
3e159652d01d8b2102344b1efe195228.jpg
barua ambayo ilimuelekeza kuandaa mkutano huo.
Mbona unamtuhumu, unamshutumu kumshitaki na kumhukumu Bw. DC wewe mwenyewe? bila kumsikiliza na yeye?.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom