Upungufu wa sukari: Bodi ya sukari kuagiza bidhaa hiyo toka nchi za nje

jerrytz

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
5,975
4,264
Serikali imeaigiza Bodi ya Sukari nchini (SBT)kuagiza sukari kutoka nchi za nje kufuatia upungufu wa bidhaa hiyo kuliko sababishwa na kufungwa kwa viwanda vya bidhaa hiyo chini.

Utafiti uliofanywa numeonyesha kwamba bei ya bidhaa hiyo imepanda katika maeneo mengi nchini kwa kuuzwa kati ya shilingi 2600/- mpaka shilingi 3,000/-kwa kilo

Bodi ya sukari iliweka bei elekezi ya shilingi 1,800/- kwa kilo mwaka jana.


======
A survey conducted by the ‘Daily News’ revealed that prices of the commodity are soaring in most parts of the country as it is sold at between 2,600/- and 3,000/-. In Dar es Salaam, sugar is going between 2,400/- and 2,700/- in places where it is available.

At American Supermarket, which used to sell the commodity at a much lower price compared to other supermarkets, the price is now at 2,500/-. Some of the leading supermarkets did not have the commodity in stock.

In Kilimanjaro Region, where one of the largest sugar plants - The Tanganyika Planting Company (TPC), is located; sugar prices have soared to 3,000/- per kilo in retail shops, in some parts of the region. In Moshi Municipality, Moshi Rural, Rombo and Same, the prices range from 2,100/- to 3,000/- depending on several reasons, one of them being remoteness of the area, from the town centre.

A retail businessman from Machame Uroki, Mr Mathias Mushi, said he sells sugar at 3,000/- a kilo, to get what he termed as little profit, having bought a 50kg bag for a little more than 100,000/-.

A businesswoman from Singa Village, Kibosho East Ward, Kibosho Division in Moshi Rural District who preferred anonymity said she sells a kilo of the commodity at 2,600/-. In Same District, the price is ranging between 2,800/- and 3,000/- while in Rombo it is between 2,600/- and 2,900/- .

The prices are well above the 1,800/- per kilo set by the Sugar Board of Tanzania (SBT), last year. In Mwanza, sugar is being sold at between 2,600/- and 2,800/- per kilo, in Mbeya between 2,300/- and 2,800/- , while in Sumbawanga it is between 2,650/- and 3,100/-.

The TPC Director of Corporate Services, Mr Jaffari Ally said they had nothing to do with prices. He noted that they always produce and sell at wholesale price and as of now, the factory was on its normal annual closing schedule, but also to pave the way for maintenance of machines. Mr Ally said they closed production on normal routine in March and will resume production by June, this year.

He said that they don’t have sugar in their warehouses as the entire product had been sold. He revealed that this season, they had produced above their set target (110,000 tonnes) as they reached a record 111,800 tonnes, while last season they produced 95,000 tonnes of the sweetener and would always like to produce more to meet market demand.

The Kilombero Sugar Company Public Relations Manager, Mr Henry Muchunguzi, told the ‘Daily News’ over the phone yesterday that he was not aware of price increases in the market, saying the issue was crosscutting. “So far, the wholesale price at the sugar factory has remained the same.

But, the issue of pricing also involves regulatory authorities and marketing,” said the Kilombero Sugar Public Relations Manager.

Source: Daily News 5th May
 
Serikali imeaigiza Bodi ya Sukari nchini (SBT)kuagiza sukari kutoka nchi za nje kufuatia upungufu wa bidhaa hiyo kuliko sababishwa na kufungwa kwa viwanda vya bidhaa hiyo chini.
Utafiti uliofanywa na gazeti la Daily News umeonyesha kwamba bei ya bidhaa hiyo imepanda katika maeneo mengi nchini kwa kuuzwa kati ya shilingi 2600/- mpaka shilingi 3,000/-kwa kilo
Bodi ya sukari iliweka bei elekezi ya shilingi 1,800/- kwa kilo mwaka jana

Source : Daily News 5th May
Muda wa kuonewa tunaoanza kufunga mwisho wa mwezi huu umefika, mwaka jana tulifanyiwa hivihivi.
 
Serikali imeaigiza Bodi ya Sukari nchini (SBT)kuagiza sukari kutoka nchi za nje kufuatia upungufu wa bidhaa hiyo kuliko sababishwa na kufungwa kwa viwanda vya bidhaa hiyo chini.
Utafiti uliofanywa na gazeti la Daily News umeonyesha kwamba bei ya bidhaa hiyo imepanda katika maeneo mengi nchini kwa kuuzwa kati ya shilingi 2600/- mpaka shilingi 3,000/-kwa kilo
Bodi ya sukari iliweka bei elekezi ya shilingi 1,800/- kwa kilo mwaka jana

Source : Daily News 5th May

Kuna bei elekezi ya ada kwa shule za private nayo sijui iliishiaga wapi?
 
Hapa ndipo tunapigiwaga wabongo

Kampuni zinazoagiza sukari zote ni kampuni za kijani na zimepewa "cover registration " kana kwamba ni kampuni binafsi

Nakumbuka sakata la Idd Simba,kuhusu kuagiza sukari,yeye pia alisema ni "bangusilo"

Kinachofanyika ni ku-create artificial shortage,


Kijani wamekaukiwa hela ya kufanya chaguzi za ndani,wanahaha
 
a63f60d90e3170ee9884685124107318.jpg
nipo najisomea kitabu kizuri sana
 
Zile ruhusa alizopewa bakhresa kuhusu sukari zimeishia wapi?

Hivii Bodi ya Sembe imeshaundwa?

Duuuuuh anamlazmisha kweli bakhressa mpaka lro hii lkn mzee azam hataki kbisaa
 
Back
Top Bottom