HAIWEZEKANI kupata HEDHI wakati unamimba, ila inawezekana kutoka damu ukeni (vaginal bleeding) wakati unamimba kwasababu ya matatizo mbalimbali ikiwemo kuharibika kwa mimba, rapture de membarana, etc, inabidi ukaonane na gynecologist haraka, it's possible huna mimba au kama unayo inaanza ku take...