Recent content by ven1965

  1. ven1965

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

    Lakin lile swali lako la separation of power uliuliza kwa ujasiri sana ila alikujibu kijanja kijanja ukabaki unaitikia uongo uongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ven1965

    JamiiForums Tanzania Shetani kama ni kidume avae mwili kama Yesu kristo aje Duniani alete hizi tabia zake za kipumbavu

    Kwanza naamin MUNGU yupo ila hii story ya Mungu na shetani kidogo inafikirisha kwamba Mungu atuuumbe af tukikosea atukabiz kwa shetan Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ven1965

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujuzwa uendeshaji wa saloon za kike

    Ioooo ya maharusi imekaaa poa sana
  4. ven1965

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujuzwa uendeshaji wa saloon za kike

    Habari zenu wadau, Nilikuwa naomba msaada mwenye ujuzi na saloon za kike. Yaani muundo wake, gharama zake, changamoto zake na hata faida zake na mengneyo kwa ujumla.
  5. ven1965

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hili la huyu mpenzi wangu acha pesa zangu ziishie kwa mama tu!

    Ila Kuna wanawake/wadada wanajua kushukuru ata kwa kidogo yaaan wanafariji Hadi unapata nguvu ya kujali zaiiidi
  6. ven1965

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Labda 2030 Ila 2025 tayari yupo
  7. ven1965

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, mwache mwanamke aondoke (Men, Let her go)

    Nani sio Malaya kipindi hichi
  8. ven1965

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, mwache mwanamke aondoke (Men, Let her go)

    Kaka matatzo ya wanawake Ni Yale Yale ko utafanya kazi ya kuondoka kila siku wewe Ni kusema let she go.
  9. ven1965

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, mwache mwanamke aondoke (Men, Let her go)

    Aondoke mi ananiachia nani Sasa Kuna wakat lazima upambane kumrudisha uskubali aondoke kirahisi rahisi tu. Kumbuka mwanamke alieshika hisia zako. Hapatikani kila wakati huwa anatokea Mara chache
  10. ven1965

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, mwache mwanamke aondoke (Men, Let her go)

    Mapenzi yanahusisha hisia kiongozi na hakuna hisia ngumu kuzizuia Kama za mapenz
  11. ven1965

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni nini?

    Watu wamechafukwa na nafsi bro awaelewi kitu
  12. ven1965

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni nini?

    Ukorofi uoooo
  13. ven1965

    JamiiForums Tanzania Ndugu Mwanaume

    Yaaaan wanaume mpaka tuseme
  14. ven1965

    JamiiForums Tanzania Watu hufa

    Unahichagulia stail ya kufa
  15. ven1965

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Thanks bro
Back
Top Bottom