Recent content by vempire1

  1. V

    JamiiForums Tanzania Salamu tu, Imekuwa too much

    Mkoa upi huo mdau?
  2. V

    JamiiForums Tanzania Tutasikia mengi sana urais mwaka huu

    hujamtaja ni nani?
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini unaogopa kuangalia maiti?

    Ni utoto hiyo hali itafikia kipindi utaiona ya kawaida hata mie nilikuwa kama wewe lakini kadiri nilivyokuwa nakabiliana na haya mambo nilishaona ya kawaida tu.nakumbuka zamani nilikuwa hata nikiona majeneza yanauzwa naweza kubadilisha njia
  4. V

    JamiiForums Tanzania Chagua UKAWA tuondoe Mafisadi CCM

    Yap ili mabadiliko ya kweli yapatikane inatakiwa ukawa ishinde hapo ndipo watu watakua na adabu.uchumi utabadilika na mambo mengi yataenda sawa
  5. V

    JamiiForums Tanzania Lowassa azua mapya

    Sasa ikitokea jina lake likakatwa sijui mtasemaje tena? Si ndio itakuwa mwanzo wa kugawanyika chama?
  6. V

    JamiiForums Tanzania Nipashe laweka picha ya Mwigulu badala ya Ngassa

    Hii Kali ni sawa na daktari kuchanganya operation wa kichwa anamfanyia ya mguu
  7. V

    JamiiForums Tanzania Kama kweli huyu kijana ameambukiza HIV hawa mabinti, basi vijana wajihadhari

    712 kwa miaka mitatu duuy
  8. V

    JamiiForums Tanzania Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    Jamii foram
  9. V

    JamiiForums Tanzania Ijue Wilaya ya Rombo kinaga ubaga na sifa zake

    JF idumu forever hapana ndipo huwa nacheka.napunguza stress zangu.kifupi huwa najifunza mambo mengi sana kuliko mitandao yote ya kijamii hapa JF ndio home pa ukweli
  10. V

    JamiiForums Tanzania Ijue Wilaya ya Rombo kinaga ubaga na sifa zake

    daaaah kumbe Rombo Wanawake nje nje aisee.mleta mada hakujua kama watu wanaijua Wilaya yake kuliko hatari yeye.ndio maana naipenda sana JF Luna raha sana jamani daaaaah
  11. V

    JamiiForums Tanzania Bongo kuku analiwa kila kitu. hatariiii

    Na manyoya daah umetisha
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kaka ulivyokaa hapa mara ya mwisho ilikua haujalipa

    Huo ni ubwege sasa yaani nikubali kulipa eti kisa kaongea kwa nguvu hapana aisee
  13. V

    JamiiForums Tanzania Sijui mtego huu?

    Hii stori ya kutunga hii nimeishtukia
  14. V

    JamiiForums Tanzania Vodacom huu sasa ni uhuni

    Kwahiyo hata hizo mb 700 ni feki.Airtel kwa mb wapo sawa hawaibi wala
  15. V

    JamiiForums Tanzania Vodacom huu sasa ni uhuni

    Ni kweli inaboa sana na ukichunguza hizo mb 700 ni uongo ukitaka kujua download movie ya mb 700 kwa mfano ikifika Mb 498 wanatuma SMS hiyo ya umefikia kiwango cha mb 700 sasa huu si utapeli jamani?
Back
Top Bottom