Nipashe laweka picha ya Mwigulu badala ya Ngassa

Nipashe laweka picha ya Mwigulu badala ya Ngassa

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
25,161
Reaction score
27,301
Gazeti la Nipashe toleo la mtandaoni likiwa na kichwa cha habari 'Ngasa atua rasmi Free State', limetoa kituko na kuiweka picha ya mtia nia ya urais Mwigulu Nchemba katika habari hiyo kisha kuweka caption ya Mrisho Ngasa.

Natumia fursa hii kuwashtua webmasters wa website ya IPP Media wabadili picha iliyobeba habari hiyo ya winga machachari wa Free State ya Sauzi na Taifa Stars. Habari yenyewe iko HAPA na screenshot yake ni kama inavyoonekana hapa chini:

attachment.php
 
Naona Mwigulu kawakuna panapo,mpaka wanaweka picha yake mahali pasipo.
 
Hii Kali ni sawa na daktari kuchanganya operation wa kichwa anamfanyia ya mguu
 
Hivi ngasa ameenda lini south kureport, tuanzie hapo
 
basi mwigulu aachane na siasa akachezage mpira huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom