Recent content by vegeta

  1. V

    Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

    Kha kumbe bash ni wa huko alah
  2. V

    Miaka 22 ya TICTS nchini yafika mwisho, mamlaka ya bandari kutosaini mkataba mpya

    sidhani kama mpaka sasa hawajapewa hawa si unajua kila zama na kitabu chake cha TICTS ndo kimeshafungwa
  3. V

    Rushwa imepeleka Kombe la Dunia Qatar, majuto yamebaki kwa mashabiki

    utakuta waarab wa Qatar wanajifanya kukataa lakin huko huko o kuna wanaofanya na kufanyiwa na hiyo michezo. Kwa kifupi jamii ya kiarabu na ushoga ni pete na kidole ingekuwa jamii ya waasia kama wajapan wachina labda ndiyo michezo hiyo siyo mambo zao lakin siyo waarab ndiyo maana maeneo ya...
  4. V

    Rushwa imepeleka Kombe la Dunia Qatar, majuto yamebaki kwa mashabiki

    una uhakika Qatar hakuna mashoga? yaan hakuna waqatar mashoga?
  5. V

    Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Chapa Chapa kaz kwa bidii, ongeza elimu na maarifa, pambana upate kaz yenye kipato kikubwa, jenga nyumba nzur kwenye kiwanja chako chenye jina lako, punguza mapenz ya dhat uliyonayo kwa mkeo maana huyo siyo mke ni msaka mali so mtreat kama mtoa uloda tu, sitisha ujenzi au kuendeleza kiwanja...
  6. V

    Vifaa made in Israel vyakutwa kwenye Drone za Iran

    makobazi, hirizi, kanzu, majambia, barghashia, hina majini, tende, na halua.
  7. V

    Hii trekta millioni 46 tu

    sure ni cost effective sana kukodi kuliko kununua labda mtu uwe na kilimo kama ambacho ni kikubwa sana.
  8. V

    Moscow : Mwanafunzi Raia wa Zambia aliyekuwa akipigana upande wa Urusi kwenye Vita vya Ukraine auawa vitani

    Supa chawa urusi anasaidiwa vita na mzambia duh kama vipi warusi wa JF nao walazimishwe kwenda urusi wakampambinie putin maana deki ndo ishakula kanda tena.......
  9. V

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa wadaiwa kuingilia Mfumo na kuonekana kama Wamelipa Ada

    ni wizi wa kindez sanaaa sabab kugungua wizi wa namna hiyo ni rahisi sana hata mkaguzi asiye smart atajua mchezo uliofanyika ni nini. Mhasibu ambaye ni mwiz smart hawez iba kindezi ndezi namna hiyo. Labda awe amejisusa kwamba liwalo na liwe.
  10. V

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa wadaiwa kuingilia Mfumo na kuonekana kama Wamelipa Ada

    Na mimi nimejiuliza sana sabab if ukilipa benk lazima payment ireflect kwenye bank statement so wakati wa bank reconciliation end of month ingeonekana waz imelipwa bank na na haikuingia kwenye bank account so kungekuwa na pending reconciling transactions nying sana ambapo head of finance...
  11. V

    Halloween in Saudi Arabia

    Allah si ailinde saudia makafir wa kimarekani wasiiteke?
  12. V

    Kama Mnara wa Babeli, Umoja wa Ulaya wagawanyika

    kwa taarifa tu EU yaan umoja wa ulaya ni dola ya rumi ambayo ilsambaratika na miaka ya hivi karibuni imeshaanza kunyanyuka tena kwa kasi na ndipo mpinga kristo atatokea
  13. V

    Urusi yaomba magharibi ibembeleze Ukraine isitumie mabomu hatari

    Yaan ukraine ajipige mwenyewe dirty bomb yaan awe tayari kupata madhara ya mionzi hatar ambayo itakaa miaka kibao na kudhuru waukraine?🤣🤣🤣🤣 eti kisa lawama ziende urusi 🤣🤣🤣🤣. Isije kuwa ni kinyume chake urusi anataka afanye yeye huo mchezo si ndiyo amekuwa akitishia nuklia mara kibao?? hapo...
Back
Top Bottom