Recent content by Veget

  1. V

    JamiiForums Tanzania Huree kuanzia kesho bia buku....

    Ni uwezo wako tu sasa hivi mdada
  2. V

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo ambao beat yake ilikuwa ikitumika kama background ya kipindi cha Diva kipindi cha nyuma kidogo, sijui kama bado unatumika huo
  3. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake msifanye mapenzi yote, kumbukeni kuwaachia na waume zenu watarajiwa

    Siku hizi kuna wanaume wenzetu wanajua kuchamba watu! Eeeeh, wacha niendelee kuwa msomaji tu
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zilizohusika na utoaji wa leseni za udereva bila vyeti vya mafunzo zichukuliwe hatua kali

    Nijuavyo mimi, ilikuwa kama una askari unafahamiana nae ukimpa laki na 30 leseni unapata class D, ukiwa unafahamiana na Trafiki leseni utapata, ukiwa unafahamiana na mfanyakazi wa TRA leseni utaletewa nyumbani. Kilichopandwa ndicho kinachotoa matunda sasa, sioni cha ajabu hapo.
  5. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bila ya kuwa na roho ngumu kwa wanawake utakufa siku si zako

    Ukifika muda sahihi wa kujitambua na kujua unataka nin katika maisha yako yajayo, hutokaa kamwe uyakumbatie Mapenzi kuwa ndio kila kitu kiasi cha kushindwa kutoka kuiona Dunia kwa upana zaidi na Fursa zake. Heko kwako mleta uzi, kumdhuru mtu sio suluhu sahihi mara zote ingawa mara nyingine huwa...
  6. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitokaa niwasamehe wazazi wangu kwa kunikatalia kumuoa binti niliyempenda kisa tofauti zetu za Dini

    Biblia gani hiyo na mstari wa fungu gani hilo?
  7. V

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

    Kiufupi tu, kama sio mshenzy usithubutu kung'oa malaya. Utajuta
  8. V

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

    Mungu kaumba kusahau, tunakomaga basi!
  9. V

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

    Kiukweli tukikubali wanaume kila mmoja afunguke yake ya kunjunjana, wanawake mtatuona sie kama wanyama vile. Ni bas tu wengine huwa hatupendi kuzungumza yetu
  10. V

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

    Shenzy kabisa Mkulima nakazalika nakazalika[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  11. V

    JamiiForums Tanzania Tupia picha ya muonekano wa mavazi ya kisasa kwa mwanaume

    Tuko wengi mno katika hili, tena nachomekea kiunoni kabisa na suruali ninayovaa ni ya kuvaa mwanaume sio mpira
  12. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli kua uyaone; Nimeamini ndoa ni kitu kigumu sana

    Swala la nikuoe halafu kila mtu awe na simu yake binafsi halijawahi kuniingia kichwani, kuna nini humo mpaka kisionekane na mimi unaenivulia chupi daily?
  13. V

    JamiiForums Tanzania Vibweka nyumba za kupanga, unakumbuka nini?

    Aint expecting falling, just gettin new experience from the other side
  14. V

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Miji 10 ya hatari zaidi ya kuishi duniani, Afrika ipo miji 4

    Hizo picha zenyewe mbona hazifunguki?
  15. V

    JamiiForums Tanzania Vibweka nyumba za kupanga, unakumbuka nini?

    Sio sumu ndugu, ujue haya maisha ya kutafuta huezi jua kesho nitadondokea wapi katika utafutaji, naona ni bora nikajizoelea maishs yote sababu naamin siku zote uswazi maishs yanafanana sehemu zote
Back
Top Bottom