Recent content by Vee92

  1. Vee92

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina juu ya (vyeti) elimu ya Makonda

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Vee92

    JamiiForums Tanzania Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. Vee92

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Mumy Kuwa na Imani ... Utaolewa kwa Wakati Wake Mungu .. Ukiona Giza ni Kubwa Jua ya kwamba Asubuhi Yako Imekaribia .. na Ukitaka Mungu Afanye Acha kupanic .. Wewe Tulia .. Muombe Mungu .. Haya Mambo Yanakuja Automatically bila Kuforce .. Mungu Akukumbuke.. Blessings!! [emoji7]
  4. Vee92

    JamiiForums Tanzania Dume Suruali: Mwana FA aleta msiba mkubwa kwa kina dada wa mjini

    I love the song ... Bonge la ngoma ... I second him!
  5. Vee92

    JamiiForums Tanzania Tangu nigundue tabia za mume wangu sina hamu nae tena

    Kuna msemo unasema kanisa linalolalamika haliombi na Kama linaomba basi linaomba kwa unyonge na kwa kiwango cha chini. Pia alichokipanga Mungu binadamu asikitenganishe!!,.. Dada Yangu nakushauri usimame katika Maombi!! Pia haja zako zijulikane na Mungu. Talk less kwa binadamu but Talk more kwa...
  6. Vee92

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Asante Sana mkuu nimekuelewa
  7. Vee92

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Nimeuliza ili nijue mkuu sio nijaze
  8. Vee92

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Mkuu inakuaje kwa wale wanaijaza professional qualifications za uongo?! Tume ya Ajira inafuatilia hili swala?!!!
  9. Vee92

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flavour wamuaga Kikwete na kumkaribisha Magufuli

    Haaaahaaa Mkuu hii noma sanaa
  10. Vee92

    JamiiForums Tanzania PPF mfuko usiokuwa na motisha kwa wanachama wake

    Pole Sana Aiseeh ..Wengi wanawalalamikia Huduma zao ni hafifu na dhaifu.
  11. Vee92

    JamiiForums Tanzania PPF mfuko usiokuwa na motisha kwa wanachama wake

    PSPF wana Majanga ganii?! Yaan nimewaweka first priority my dear..naomba nisaidie kuchanganua ili nifanye maamuzi sahihi.
  12. Vee92

    JamiiForums Tanzania PPF mfuko usiokuwa na motisha kwa wanachama wake

    Hivi kwani hawaruhusu Kubadirisha ?!! Pspf nssf na Lapf wapo vizuri Sana. Ppf ni challenge kidogo.
Back
Top Bottom