Habari wanaJF,
Tangu kuanza kwa mifuko ya hifadhi ya jamii hapa nchini, tumeshuhudia mabadiliko mbalimbali kwenye mifuko hiyo kama vile GEPF, LAPF, NSSF na PSPF wakianzisha vitu mbalimbali vya kuwafanya wanachama wake wasiwe na full stress wakiwa wanasubiri mafao ya kustaafu. Mfano, baadhi ya mifuko hii kuna ambao ina fao la elimu, nyumba, etc.
Lakini kwa upande wa PPF, wapowapo tuu, sijui wanafanya nini? Maana hata kwenye miradi mikubwa hapa nchini tunaona NSSF na PSPF wakiwekeza ila wao mmh!
Napata shaka na mfuko huu, kama kungekuwa na uwezekano ningejitoa ili nihamie mfuko mwingine kati ya hiyo hapo juu.