Recent content by Vee lovie

  1. Vee lovie

    JamiiForums Tanzania Majibu ya HESLB batch ya 3 2023/24

    Kumbe imeshatoka jana??
  2. Vee lovie

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu na Afya

    Nina ndugu yang, lkn ni wakike..
  3. Vee lovie

    JamiiForums Tanzania Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

    Wabena tumefikiwa [emoji4][emoji3]
  4. Vee lovie

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kubadili passmarks za Tanzania kwenda Kwenye Passmarks za Luxembourg

    Hello sorry, Nikitaka kufanya conversation ya passmarks za vyeti kwenda kwenye passmarks za Luxembourg ili niweze kufanya application ya chuo. Wapi wanaweza nisaidia?
  5. Vee lovie

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vyombo vya Nyumbani (vyombo vya udongo, plastiki n.k)

    Wazoefu wa hii biashara ya vyombo vya nyumbani tunaomba mtupe madini kuhusiana na hii biashara, kuanzia mtaji, mahali bidhaa zinakopatikana kwa bei ya jumla, faida zake, changamoto za hii biashara. Michango ya mawazo yenu pls [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
  6. Vee lovie

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Nurse Anasthesia

    Sawa [emoji1666][emoji1666]
  7. Vee lovie

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Nurse Anasthesia

    Asante, ngoja nikapambane nayo
  8. Vee lovie

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Nurse Anasthesia

    Sawa mkuu [emoji1666][emoji1666]
  9. Vee lovie

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Nurse Anasthesia

    Hi.. naombeni ushauri kuhusiana na hii course ya Anasthesia kwa nurse wa diploma anaetaka ku’ specialize bachelor ya Anasthesia. Kwa upande wa soko la ajira na mengineyo. Asanten [emoji1666][emoji1666]
  10. Vee lovie

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahali wanako fundisha lugha ya kijerumani au kifaransa..

    Shukran [emoji1666][emoji1666]
  11. Vee lovie

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahali wanako fundisha lugha ya kijerumani au kifaransa..

    Hello.. Naombeni kufahamishwa mahali wanakofundisha lugha ya kijerumani au kifaransa kwa hapa Dar. Nawasilisha [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
  12. Vee lovie

    JamiiForums Tanzania Leo nimeachwa na kublokiwa na mwanaume niliyempenda

    Asante [emoji1666]
  13. Vee lovie

    JamiiForums Tanzania Leo nimeachwa na kublokiwa na mwanaume niliyempenda

    Sawaa [emoji1666]
Back
Top Bottom