Wazoefu wa hii biashara ya vyombo vya nyumbani tunaomba mtupe madini kuhusiana na hii biashara, kuanzia mtaji, mahali bidhaa zinakopatikana kwa bei ya jumla, faida zake, changamoto za hii biashara. Michango ya mawazo yenu pls [emoji1545][emoji1545][emoji1545]