Iko vizuri. Na inasaidia kwa Nurses wasiopenda kazi nyingi.Hi.. naombeni ushauri kuhusiana na hii course ya Anasthesia kwa nurse wa diploma anaetaka ku’ specialize bachelor ya Anasthesia. Kwa upande wa soko la ajira na mengineyo. Asanten [emoji1666][emoji1666]