sorry let me look it in a differnt way, first, what was your target by so studying?
secondly, by the level of education you have, you are not suppose to look for a job, you should be a job creater,
lastly, it be very difficult for you to get a job
conclusion, to all people who are studying they...
tuache ukawaida wa kuona mambo yakifanyika kipuuzi sisi tunaona kawida,tuamke kwani tukiwaacha waendelee na michezo michafu wanayoifanya
mwisho wa siku wataaibika lakini kikubwa ni kwamba tutaaibika sote, tuamke kutoka kwenye usingizi wa kifo tulionao
policy hizi zimewekwa na watu katika mazingira tofauti, cha msingi ziwe halisia(realistic). kitu wanachofanya wasomi wengi wa dunia ya leo ni kutunga sera ambazo uegemea upande mmoja. cha msingi kila mtu mahali alipo awe watch dog, kwa faida yake binafsi na faida ya kizazi kichacho, tofauti na...
tunahitaji maprofesa wengi zaidi Safari pekee hatoshi kuamsha watanzania ambao bado wako kwenye usingizi wa pono,Chadema needs more Safari, hata kama ni kununua wanunue kwa faida ya watanzania wote
ni kweli kwa kuchechemea huku taifa letu linakopitia we still someone with a strong character like danger man, but what is gone is gone, we now need good governance for survival of our country so that we can be served from the state of death
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.