TBC Inachakachua Mpaka Taarifa za kiSerikali

TBC Inachakachua Mpaka Taarifa za kiSerikali

Jamani TBC hawajaanza leo ku-cut & paste information.. mnakumbuka ziara ya Pinda KAGERA? Walikuwa wakimwonyesha akihutubia but crowd ni ile ya kampeni za uchaguzi... kuna vipindi vingi TBC ni vya upotoshaji..niliwahi kuwaambia rafiki zangu kuwa TBC taifa linaweza kuwa kwenye vita ..kwenye habari zao wakaonyesha wakulima wa mpunga Mbeya,..nakumbuka kipindi raia wanauwa Arusha, Mara, Mwanza n.k TBC walikuwa wanaonyesha habari zingine kabisa..sasa unajiuliza ina maana hawa hawajui hata great news kwa Taifa sasa ni nini? TBC pia inaukabila sana..88% ni wanyakyusa..why? TIDO, your spirit will scratches TBC until her death...
 
Kwa hasira nilizonazo na Hawa TBCCM,acha nikae kimya kwa sababu naweza kula ban ya hatari.
 
hapa hakuna shirika la umma ni shirika lililopo kwa maslai ya watu wachache
 
Jamani mazoea yana tabu. Ukizoea kuchakachua kila kitu kuna siku utataka kuichakachua hata familia yako mwenyewe. Unakuwa mwizi mpaka unataka kuiba hata vitu vyako. Lkn yote haya wamefundishwa na wanasiasa wetu ambao ni mabingwa wa tasnia hiyo.
 
humu jf wapo watangazaji na waandishi wa TBC wajitokeze watupe ukweli nani muongo............ naibu waziri au tbc
 
Amewachana live waache taarifa za uongo kama vyombo vingine vya habari,aibu sana kwa chombo cha serikali kuumbuliwa bungeni

Kwa sasa katika TV wamebaki peke yao ((wachakachuaji). Ila wanajitahidi kubadilika.
 
Kuchakachua ndio zao toka zamani,si wanalinda maslahi?
 
hawana akili nawambia kwanza walishapoteza uaminifu na utashi bada ya kumfukuza tido after uchaguzi, itafika mahala tutawafukuza na wao kama wanavyochakachua habari zao za mwaka jana, unaweza kushanga wakaleta habari za daudi balali wakakwanbia atakuwa kwimba mwanza anazidua mradi hawana mana hata kidogo,
 
hawana akili nawambia kwanza walishapoteza uaminifu na utashi bada ya kumfukuza tido after uchaguzi, itafika mahala tutawafukuza na wao kama wanavyochakachua habari zao za mwaka jana, unaweza kushanga wakaleta habari za daudi balali wakakwanbia atakuwa kwimba mwanza anazidua mradi hawana mana hata kidogo, <br>
 
Back
Top Bottom