Recent content by vCTRMA

  1. vCTRMA

    Ya Nyerere USSR, Mwinyi USA, Mkapa Japan, Kikwete Malaysia na Magufuli Rwanda

    uongozi ni karama,..na kuwa kiongozi sio kwamba ndo unajua kila itu na kusimamia kila kitu nchini......... mgawanyo wa madaraka haupo. kwanini waige ugenini,?sisi tumeshindwa kufanya ubunifu????????????? kuigaiga ndo kumetufikisha hapa.............. viongoz hawana ubunifu,wapowapo tu kumebaki...
  2. vCTRMA

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    vitu mnavyozungumzia nyinyi ni vitu tofauti,..uponyaji wa ki MUNGU upo plain,na kama huamini katika njia za MUNGU ni ngumu kuaminishwa,.but miujiza mnayosema ni mazingaombwe tu na si hasili ya mtu kuwa nao ndani,..mbona huu uzi hamuleti mirejesho kuwa munatoa mapepo na munaponyesha watu kwa...
  3. vCTRMA

    Mahubiri ndani ya mabasi ya mwendo kasi ni kero

    Then ndugu usipanic......... tunawekana sawa tu,..naomba nikuulize unaendaga kuabudu kanisa gani??? nikusaidie kitu
  4. vCTRMA

    Mahubiri ndani ya mabasi ya mwendo kasi ni kero

    sawa ndugu nimekuelewa,.ila injili itahubiriwa popote kwa hali yoyote tu,.nyinyi ndo mkatae ila usitegemee dini itakupeleka mbinguni,...njia ni kuokoka tu mkuu uache dhambi uwe na YESU.........
  5. vCTRMA

    Mahubiri ndani ya mabasi ya mwendo kasi ni kero

    Yaani kwa mtu aliyeokoka huwez kunipangia ni wapi pa kuhubiri,.popote nilipo nipo kikazi kumtangaza YESU,.kwa matendo,mwenebdo na kuhubiri pia kwa uongozi wa Roho mtakatifu,. So usishangae eti nahubiri,.ndo kazi kuitetea injili mkuu,.hutaki kwenye basi tutakufata humuhumu mitandaoni mwangaza...
  6. vCTRMA

    Mahubiri ndani ya mabasi ya mwendo kasi ni kero

    yaani wewe kuchukia haisaidii kitu,.maadam injili ya YESU umeisikia its enough......... BWANA YESU tuliambiwa kuwa tutachukiwa na watu wote kwa ajili ya jina la YESU,.........mathayo 10;22 so ni mwendelezo wa kutimiza tulioambiwa na YESU........ NOTHING NEW
  7. vCTRMA

    Mahubiri ndani ya mabasi ya mwendo kasi ni kero

    wewe ni kristo jina,.hujui maana halisi ya mkristo,.ukiwa mkristo sio eti kisa unaitw john,peter au rachael bas wewe ndo mkristo,...no MKRISTO ni yule anaefuata njia na kufanya/kufata sharia/sheria za YESU.,wewe ni mdini sio mfuasi wa YESU,.nasema hivi sikuhukumu ila huwez kuwa Mfuasi wa...
  8. vCTRMA

    Mahubiri ndani ya mabasi ya mwendo kasi ni kero

    kuhubiliwa lazima muhubiliwe ndugu,.mtake msitake,kuokoka ndo mtachagua sasa,hulazimishwi kuokoka ila ni hiari yako binafsi.akina petro walifungwa gerezani,.kwaa ajili ya jina la YESU, Na YESU mwenyewe walimchukia injili yake kwa aliwachoma mioyo washika dini na wafia dini wasiompenda MUNGU,ila...
  9. vCTRMA

    Wamarekani wamemgomea Obama na sheria yake mpya ijulikanayo kama transgender

    usa ni taifa ambalo ibilisi analitumia sana kupitisha mambo yake na kupitishia mataifa mengine........... ila biblia imeainisha kila kitu kuhusu siku za mwisho........... 2timotheo 3;1-6 mathayo24;3-51. siku za mwisho hizi ndugu zangu na bado yaani tutaona mengi zaidi ya haya,.pia tujue YESU...
  10. vCTRMA

    Geor Davie ni nani?

    Watu tatzo hawasomi neno,.ndomaana wanayumbishwa na kuchanganywa,.. watu wanaangamia kwa kukosa maarifa,. kolosai3;16-neno la Kriso na likae kwa wingi ndani yenu...... biblia ipo wazi
  11. vCTRMA

    Geor Davie ni nani?

    KWANINI NDUGU??????
  12. vCTRMA

    Geor Davie ni nani?

    ndugu unajua maana ya masihi?????????? 1yohana 4;1-wapenzi,msiiamini kila roho ,bali zijaribuni hizo roho,kwamba zimetokana na MUNGU,kwasababu manabii wengi wa uongo wametokea duniani. kuzijaribu roho sio kwa kumuuliza best yako mkiwa kijiweni,.kujaribu roho lazima uwe mtu uliokoka unaejua neno...
  13. vCTRMA

    Mtanzania Koku Gonza ndani ya Empire TV Series

    wamarekani huwa ibilisi/shetani anawatumia sana kupitisha mambo yao,...promotion ya ushoga,ulevi na matumizi mengine ya dawa za kulevya yanapigiwa debe sana na USA,. hii ni makusudi kabisa hutokea ili adhima yao ya kupitisha mambo maovu kwa jamii itimie........ porns nyingi za homosexual...
  14. vCTRMA

    Geor Davie ni nani?

    umesoma bandiko langu vizuri,..ningekuwa sifahamu nisingezungumzia,. ila biblia ni kubwa labda uniambie maana nisiyoijua.....ila si nje ya ubatizo wa maji mengi karibu mpendwa,
Back
Top Bottom