Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Raisi wa ,,USA baby" Barack Obama amekumbana na kisiki kikubwa ktk kwa Wazungu wa nchi hiyo hasa Majimbo ya North Carolina, Alabama, Arizona, Georgia, Maine, Louisiana, Oklahoma, Texas, West Virginia, Wisconsin na Utah ambako wamegomea sheria yake mpya aliyoianzisha ambapo anataka kushinikiza kukukubalika kwa jinsia mpya aliyoianzisha ijulikanayo kama transgender yaani jinsia ya tatu baada ya Mwanamke na Mwanaume, hii jinsia ya tatu ni kwamba Mwanamke au Mwanaume anajibadilisha jinsia yake kama wewe ni umezaliwa Mwanamke basi unafanyiwa oparesheni na kugeuzwa kuwa Mwanamke na kinyume chake!
Sasa pingamizi kubwa limekuja baada ya Raisi Obama kuwataka Wazungu na Wamarekani kwa ujumla wabadilishe maisha yao waliyoyazoea kama vile kwa mfano vyoo ambayo huandika kwa Me au Ke viwe na jinsia ya tatu ya trangender, na hapo ndipo ugomvi ulipo Wazungu wamegoma na wamesema kwenye Shule zao zote watoto watatumia jinsia yao waliyozaliwanayo na siyo waliyobadilisha hivyo kuna ugomvi mkubwa huko ,,USA baby"!
Mimi ni mmoja kati ya watu waliomshuku sana huyu Obama tangu siku anaapishwa na niliitwa majina mengi lkn sasa wameanza kugundua kilicho nyuma ya pazia this man is evil na amekuja kwa lengo moja tu nalo ni kuharibu hii Dunia, halafu kwa kuwa Wazungu wametusukumia huyu mchotara na kumuita mweusi Dunia itakuja kutuhukumu Waafrika na watu weusi kwamba tulipewa nafasi ya kuongoza na kuharibu ,,USA baby" na ndiyo maana napinga kwamba Obama is not a black man bali ni mchotara (mixed race)!
Anachofanya kinaitwa social experiment, na lengo ni kuibadilisha jamii kama tujuavyo na kuwa jamii nyingine kabisa ambayo haipo, sasa mtu wa hivi ni evil kwa maana ni kinyume na kila kitabu caha dini zote za Dunia hii!
Najua utatoka povu na kunitukana kwa sababu na wewe umedanganywa na unaamini kabisa kwa Obama ni Mwafrika na anakuwakilisha lkn kabla haujaanza kunitukana fikiria anachokilazimisha kufanyika kitakuwa na madhara kiasi gani kwa jamii yetu?
Kama tu mnapinga kuwakubali Mashoga na Wasagaji vipi hawa wakubadilishwa jinsia, fikiria kesho mtoto wako anakuja kukwambia anataka kuwa Mwanaume au Mwanamke na tayari kuna fungu la fedha ktk ,,USA baby" kufanikisha hilo utakubali?
Kama inavyoonekana kwenye picha hivi ndivyo Obama anavyowataka Wamarekani wabadilishe alama kwa mfano chooni kuwe na Ke, Me na wa tatu aliyebadilisha na hii ni Shuleni kwa watoto wadogo wala siyo watu wazima!

Obama siyo Mwafrika bali ni mchotara!