Recent content by Vawulence

  1. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Lissu alipoomba mashahidi waitwe na mahakama alicheza kama Libasse. Kina Mnyika hawajaitwa na mahakama hivyo hata wasingekuja isingekuwa issue. Sasa hao walioitwa na mahakama wasipokuja siyo kwamba wamemmaliza Lissu bali watakuwa wameidharau mahakama. Pia wakija lazima wakutane na Lissu na...
  2. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Sisi tunataka wawe hostile sana.
  3. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

    Uliwekewa maziwa badala ya ubongo? Yaani hata uliyoandika tu umeshasahau. Mimi nimekujibu kwenye "aswali ni yaleyale" hiyo habari ya siku 3 baki nayo wewe.
  4. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

    Lissu amekujibu hapa
  5. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

    Asipoelewa tena basi sina msaada naye. Sheria siyo kuongelea mambo mengi tofautitofauti ndio utashinda bali kusimama na jambo moja au machache yanayobebana na kuthibitishwa. Ukiwa na Mashahidi 10 wakaongea vitu tofauti ni upuuzi bora uwe na mashahidi 3 wanaoongea vitu vichache vinavyofanana.
  6. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

    Hakuna mtu ana utulivu wa kujibu maswali kama Heche. Lissu anaweza kupanic lakini siyo Heche. Fuatilia mahojiano yote hasa aliyofanya na Manara. Manara alikuwa anajitahidi sana kumtoa kwenye mstari ila Heche akawa na utulivu sana. Ndio maana mpaka leo Manara anakazania kutaka mdahalo na Heche...
  7. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

    Mnajisumbua naye tu... Huyu unamuignore tu anabaki kujiongelesha.
  8. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

    Sasa hiyo ndiyo akili ya sheria achana na ile ya multiple choice mliyofundishwa watu wa serikali. Anachofanya ni kuonesha muunganiko wa mashahidi wake. Wote wanazungumzia kitu kilekile kwa usahihi kabisa. Mashahidi wakiongelea vitu tofauti ina maana ushahidi wao hauna ushirikiano na haufai...
  9. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda amaliza kutoa ushahidi Mahakamani Septemba 9, 2026

    Ndiyo ilikuwa jinai. Wizi wa pesa za Citibank
  10. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda amaliza kutoa ushahidi Mahakamani Septemba 9, 2026

    Mbona Kasusura aliishinda Jamuhuri tena bila wakili na kwenye bilioni 4.4 wakaishia kupata milioni 2.5 tu?
  11. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga wanapenda kuuliza hili swali?

    Bahati mbaya sana siwezi kuja kwenu
  12. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga wanapenda kuuliza hili swali?

    Done
  13. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga wanapenda kuuliza hili swali?

    Kumbe tatizo lako ni kuwa hauna identity. Hauwezi kujiidentify kwa kabila lolote. Tanzania hamna kabila la Brashi wana Furushi
Back
Top Bottom