Recent content by vassil

  1. V

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya 2018/2019 haikuwa na fungu la kununulia korosho

    Mwisho wa kutunisha misuli , wakulima walikuwa wako vizuiri mpaka sirikali ilipoamua kuiba hela zao
  2. V

    JamiiForums Tanzania Max Melo kajitolea kutulinda, sisi tumeshindwa kumlinda, lakini vifungu hivi vinawapa nguvu polisi

    Sijui ni kitu gani kigumu kuelewa, uhuru wa maoni una maana moja tu, kulaumu watu kwa kutoa maoni yao haiingii akilini Free Melo, now
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    not too shabby
  4. V

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Marehemu Wakili Nyaga Mawalla yaanguka na kuharibika 'write-off'

    yeah jamaa alikuwa anafrequent sana mawenzi girls nakumbuka one time tulikuwa stuck mida ya jioni sana mawenzi jamaa alikwenda out of his way na kuturudisha shule arusha na gari lake naweza kusema alikuwa na roho nzuri kwa upande mmoja upande mwingine yule bwana alikuwa na sifa ya uhalifu wa...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Shamba la Bibi:Chinese Convicted for Mining in Game Reserve

    kuna mtu alishawahi kuniambia miaka miwili iliyopita waliwakuta wachina wamefunga mitambo mizito kwenye shamba lao wakitafuta madini sikumuamini, hawa wachina wanatudharau sana
  6. V

    JamiiForums Tanzania Shamba la Bibi:Chinese Convicted for Mining in Game Reserve

    the fine is a joke kwa kweli, kila mtu anayehukumiwa miaka minne akipewa hii faini majela yatakuwa meupe
  7. V

    JamiiForums Tanzania Shamba la Bibi:Chinese Convicted for Mining in Game Reserve

    Sumbawanga - MPANDA District Magistrate's Court in Katavi region has sentenced director of a mining company, a Chinese national, Bloan Chaoxan Zhou (42) to four years in jail for illegally mining at a prohibitive area of Lwafi Game Reserve in the district. However, the Chinese national,who runs...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Posho za Wabunge na Maisha ya Dodoma

    na hoja ya mishahara ya waalimu, polisi ,madaktari ,wanajeshi haiendi kokote pia!
  9. V

    JamiiForums Tanzania JK: Darling of the West, criticised at home

    I dont understand what you are trying say, are you saying Italy and Netherlands have similar relatioship to US multinationals to ours, can Barrick pay 3percent royalties in Israel? Look at Oil contracts in Iraq you will understand what people are talking about
  10. V

    JamiiForums Tanzania Sera za Majimbo ni za Lazima! Asiyetaka ahame Nchi!

    key word experiment, mda umepita Nyerere na wengine wameshazifanya sana,huu ni wakati wa wananchi kuamua wanataka nini siyo kuzidi kukuza size ya serikali, bunge la afrika mashariki? my gosh
  11. V

    JamiiForums Tanzania Sera za Majimbo ni za Lazima! Asiyetaka ahame Nchi!

    nafikiri huu ni mjadala mzuri lakini naona kuna mambo mengine ya msingi ya kuangalia kabla hatujaenda kwenye kuamua tuwe na mfumo gani wa serikali.Kila mfumo una faida na hasara zake lakini naamini kuna mambo ya msingi lazima yawepo kwenye mfumo wowote tutakaochagua.Kitu cha kwanza madaraka na...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Shy-Rose aanza kuwatembelea mabalozi wa EAC Tanzania!!

    If what you are saying is correct then we have a problem, I dont think she has to get permission from anybody to talk to foreign leaders or entity,she is part of government.
  13. V

    JamiiForums Tanzania Statement ya Mhe. Zitto Kabwe : To the Ministers-Nothing to Celebrate, go to work

    as long as msanii bado yuko mjengoni mapambano inabidi yaendelee,hili baraza haliwezi kuwa na ufanisi kuliko raisi aliyeliteua
  14. V

    JamiiForums Tanzania Truworths, Identity and 4u2 to close shop in Tanzania over endless losses

    watanzania tuna matatizo mengi sana na mfumo wetu wa kufanya biashara siyo mzuri hillo halina ubishi. Wenzetu wa Kenya wanapenda kufanya mambo yao kwa staili ya kimagharibi zaidi kitu ambacho watanzania wengi hakijaingia sana, kuwa na malls kubwa siyo dalili ya maendeleo , watanzania tutafaidika...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Zitto na January, Hongera kuhusu Posho ila nina Ushauri...

    heshima mbele Mchambuzi, umeleta hoja nzuri jamvini ila umenistua sana. Kama nimekuelewa vizuri kuondolewa kwa posho kunaweza kupelekea kushuka kwa ufanisi wa watumishi wa serekali, really? nimestuka kwa sababu I never imagined the situation i mean ufanisi could actually get worse.Hakuna...
Back
Top Bottom