Bongo kuna home work af nchi zilizoendelea kuna exercise.... #ELIMU afya etc nitatizo xn kwasababu tunataka maneno yawapinzani katika mifumo bandia yaimalishe yote hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Najihisi dhaifu kuifuatilia bunge bora tungelikua kama bushmen ambao hata kamusi hawakuwahi kuiona uongozi unashindwa kutogautisha kati ya neno dhaifu na pesa inayopotea ambaya sasa inafanya maisha ya mtanzania kuwa DHAIFU NA MAGUMU hebu msitutanie af mambo mkayamaliza kimya kimya... mbona raia...
Tanzania yawajanja siasa mbele, kujari matatizo ya raia mbele ya safari but tutafika kwasasa hatutaki utani life limetupiga af wenye matumbo yakiofisi plus ufisadi wanafurahia maisha God I beg you to punish them●●●●●
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Aah elimu ya miaka ya 2010's shida kabisa yani mwanafunz wa premary anadaftari takribani 14 af dalasa la 5 now days anafundishwa kubarehe tena mada ipo kwenye stadi za kazi!!!!! bado wazee wetu watajisifu kwa hakika
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.