Ufahamu mmea unaokula nyama

Ufahamu mmea unaokula nyama

Huu ndio ule mti niliousoma form one kwamba ni kiumbe hai sasa.

Sio hii mingine imekaa kaa tu.
 
Tuma hata kapicha mkuu tuweze kuuona na kuutambuatafafhari.

Nawasilisha hoja.
 
Asante kwa somo zuri,kumbe kuna baadhi ya watu wanapotea maporini inawezekana iko mimea mikubwa inayokula watu...
Inabidi tusikose panga na visu tukkingia maporini, maana unaweza liwa na miti chonganishi mfano wa huo mmea
 
Sayansi katika ubora wake, watu wa Geo Channels, Nature, Discovery tulishajulishwa kuhusu huu mmea...
 
Ungekuwepo Afrika huu mmea yale mangedere na mapanya yangenikoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom